Wakuu,
Jamaa huyu aliyetambulika kwa jina la Yusufu amedakwa huko Arusha baada ya kutambulika kuwa ni tapeli katika kanisa katoliki Kijenge, Arusha. Wananchi wanasema alikuja na akapewa nafasi hapo kanisani lakini kumbe alikuwa mtumishi wa mchongo.
Huyu mtumishi amekuwa akitoa elimu ya athari...