Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa,
katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...