Habari wanajukwaa,
Leo naona tumalize utata wa nani zaidi kati ya viungo hawa wawili. Wote ni viungo wazuri, ila mmoja ana uwezo zaidi anapokuwa kulia na mwingine anapokuwa upande wa kushoto.
Kitakwimu za ufungaji wa magoli tofauti si kubwa sana katika idadi ya magoli. Ukija katika uwezo wa...