utata

Utata (Russian: Утата) is a rural locality (an ulus) in Zakamensky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 653 as of 2010. There are 10 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. tpaul

    Kesi yenye utata: Binti adai kuzaa na baba yake watoto 3 lakini akana mahakamani

    Kesi ya baba kuzaa na mwanaye watoto 3 imechukua sura mpya baada ya binti huyo aliyekimbilia polisi kufungua kesi kukana mashtaka baada ya kesi kufikishwa mbele ya hakimu huko Rufiji. Awali binti huyo alidai kuwa baba yake alianza kumgegeda tangu mwaka 2019 na kufanikiwa kuzaa naye watoto 3 na...
  2. S

    Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k. (ii) Kutozingatia alama...
  3. Mto Songwe

    Jina la sasa la Twitter" X" lina utata sana

    Toka billionaire Musk auchukue mtandao wa Twitter kuna mabadiliko kadha wa kadha amefanya. Moja ya mabadiliko hayo ni kutoka kuitwa Twitter mpaka kuitwa "X". Hili jina limekuwa na ukakasi mwingi sana hasa katika kulitumia kutambulisha mtandao unaotumia hata kufungua app yake katika kundi la...
  4. Intelligent businessman

    Ujasiri na utata wa mzee wangu ushimen, uta kushangaza

    Salaam wakuu, dah nina andika Uzi wangu huu nikiwa Kijiji Cha wapiga miti. 👉Niko na mzee wangu Ushimen, tuki endelea na mapambano yetu Kama Wana familia Ila kuna vitu vya mzee wangu huyu, vina Nishangaza na kuni onyesha kuwa huyu ni zaidi ya dikteta au bepari. Ame binafsisha cheo Cha...
  5. Huihui2

    Msuluhishi wa kesi ya waliokuwa wafanyakazi wa TBL atoa maamuzi yenye utata

    Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake...
  6. Labani og

    Simba iombeni radhi Ngome FC

    𝙏𝙊𝙆𝙀𝙉𝙄 𝙃𝘼𝘿𝙃𝘼𝙍𝘼𝙉𝙄 𝙈𝘼𝙆𝙊𝙇𝙊 Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu. Ombeni msamaha [emoji1666]. Cc: castor Yanga NB: how...
  7. Yericko Nyerere

    UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?

    Je Serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria? Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je, watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliyetwaa Urais wa Samia aurejeshe...
  8. Nguruvi3

    Duru: ' Utata wa Utatu', Katiba, Muungano na Kura ya Maoni

    Sehemu ya I Bandiko Duru: Hatima ya Muungano na dalili za kuvunjika mapema tulisema bila kura ya maoni na Katiba ,tuna ahirisha tatizo la Muungano kwa muda. Kuna 'utatu' wa ''Katiba, Muungano na Kura ya maoni'' . Madai ya katiba ni katika eneo la madaraka ya Rais, kuimarisha taasisi na...
  9. S

    Naomba Watanzania tujadili mazingira yenye utata kwenye Mkataba wa Bandari

    MAZINGIRA YENYE UTATA KUHUSU MKATABA WA BANDARI Kuna mazingira yenye utata mkubwa na yanayoibua hisia na maswali mengi kutoka hatua ya MoU, kusainiwa na kuridhiwa kwa mkataba huu wa IGA, nitaongelea vipengele vitano kama ifuatavyo. (a) Kampeni za wazi, Spika wa Bunge kuandaa ziara mwezi...
  10. Shark

    Ufanyike mdahalo (Debate) kumaliza utata kuhusu Bandari

    Kwema Wakuu? Kwa sasa MAIN TOPIC au AGENDA nchini ni swala la Bandari. Kuanzia ma ofisini, majumbani, vijiweni, kwenye daladala, bar hizi story zimetapakaa. Kila mmoja anazungumzia issue za bandari kwa muktadha wake. Wapo wanaoihusisha Bandari na dini, utanganyika v/s uzanzibar, kuibiwa...
  11. BARD AI

    Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
  12. S

    Kijana Mzalendo amvaa Spika Tulia Mkataba wa Bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO, DEVID LEVI NKINDIKWA KUHUSU MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI LEO TAREHE 22/7/2023 1. UTANGULIZI MKATABA WA IGA BAINA YA TANZANIA NA EMIRATE YA DUBAI Pamoja na Maoni na ushauri unaotolewa na wananchi kuhusu kufanya marekebisho ya Ibara zenye kasoro katika mkataba wa...
  13. Camilo Cienfuegos

    Tumalize utata: Simba Vs Yanga nani ana uzi mkali?

    Piga kura yako kwa kuandika jina la timu yenye jezi kali kati ya Simba Vs Yanga.
  14. Pascal Ndege

    CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

    Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini. Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini. Kumuunga mkono Rais ni...
  15. Zanzibar-ASP

    UTATA: Majadiliano na DP world bado, lakini serikali yetu inajivunia faida za DP world!

    Huenda labda ni kuchanganyikiwa au kutokujipanga kwa viongozi wa Tanzania katika kutetea mkataba wa uwekezaji wa bandari baina ya DP world na Tanzania. Kumekuwa na kauli za kukinzana na kuvuruga kutoka kwa viongozi watetezi wa sakata hili ili kujibu shutuma za Bandari yetu kutolewa bure na...
  16. machoo

    SoC03 Tuangamize Utata wa Watumishi katika Sekta ya Afya: Kuelekea Uboreshaji wa Huduma za Afya Tanzania

    Mheshimiwa Ummy Mwalimu: Heshima yako Odo Ummy, Amani ya Mungu iwe juu yako, natumaini barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na ustawi bora. Kwenye wizara ya Afya, Naweza kusema Bila shaka jitihada zako ziko bayana kwa kila Mwananchi. Hata hivyo, ningependa kukushirikisha wasiwasi wangu...
  17. Gulio Tanzania

    Rais Samia atumie kete yake ya mwisho kumaliza utata wa bandari

    Mpaka sasa tumeachwa gizani hatujui mustakabali wa nchi yetu swala la mkataba wa bandari upande wa utetezi ukimsikiliza Mheshimiwa waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na uchukuzi,na msemaji wa serikali hawa wote nimewasikiliza kauli zao kila mtu kila mtu anasema lake lakini bado hawakati kiu ya...
  18. comte

    Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  19. Beberu

    UTATA: Ufanye Kazi ambayo huipendi ila inakulipa sana au ufanye kazi unayopenda ila inakulipa wastani?

    (Eneo la salamu na utangulizi ) Mfano, ufanye kazi ya ukonda, kwa siku uweke mfukoni 30-50k kwa mwezi hio ni 900-1.5M ila huipend wala haikupi amani ya moyo (Yan kwa kifupi unaichukia kazi) Au ufanye kazi yenye mshahara wa wastani ila inakupa amani na unaipenda, eg Ualimu hapo unachukua zako...
  20. Nyendo

    Kifo cha Nusura: Maswali ya kujiuliza kwenye Ripoti ya Tume ya Uchunguzi

    Ripoti ya THBUB inasema April 27 asubuhi Nusura alisafiri kwa basi la Manning Nice kutoka Dodoma hadi Babati. Kisha akapanda Coaster hadi Arusha, kabla ya kumalizia safari kwa basi la Ibra Line hadi Moshi. Lakini taarifa ya VC UDOM (Soma hapa Chuo Kikuu cha Dodoma chatoa taarifa kufuatia kifo...
Back
Top Bottom