Habari zenu watanzania.
Ninajivunia kuwa mtanzania, pia ninayo furaha kupata fursa hii, ili na mimi nitoe mawazo yangu katika ujenzi wa nchi yetu. Asanteni sana mlioandaa shindano hili, siyo tu kwamba kujishindia zawadi, bali, tuna tunatazamia mabadiliko chanya, na uwajibikaji katika sekta...