Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka mawakili kuharakisha kesi za ardhi zaidi ya 2,000 ambazo zina Mawakili wanaosimamia kwa niaba ya wateja wao.
Waziri Angella Mabula amsemea: “Katika mashauri 3000 yaliyochukua zaidi ya miaka miwili, 2,000 kati yao ni yale ambayo...
Utangulizi.
Tangu uwepo wa ulimwengu huu maji ni kimiminika ambacho kimekuwepo na kusaidia shughuli mbalimbali za uendeshaji na ujenzi wa ulimwengu tangu ikiwa tupu hadi sasa katika zama za sayansi na teknolojia iliyokubuhu (Post-science and technology society).Maji hayana mbadala,na wengine...
UTATUZI WA MIGOGORO IKUNGI
SASA NI KATA YA UNYAHAATI
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro akiwa pamoja na wataalamu wa ardhi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ikungi leo tarehe 27/07/2022 wamesikiliza na kumaliza kero ya mgogoro wa viwanja vya wananchi 40 katika kijiji Muungano...
Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu.
Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
Habari za leo wana JF
Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi.
Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
Wanabodi,
Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto,
Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna,
Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila...
Wasalaam,
Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar.
Nimekuwa nikijaribu kutafiti njia mbalimbali za kuondokana na mbu lakini mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa kudumu...
Imezoeleka kuwa habari za vijijini zinapatikana pale kiongozi wa kitaifa akienda huko huku akiongozana na wandishi wa habari toka mjini kwa ajili ya uzinduzi wa jambo fulani kama vile Kisima, Hospital nk lakini baada ya hapo huondoka zao na kurudi walikotoka bila hata ya kuzunguka na kujua...
Hii hupelekea hata viongozi wao washindwe kujua nini wawafanyie hawa binadamu hasa wa Kitanzania kuwaridhisha matokeo yake kila mmoja hufanya anachojua
Tokea kuzaliwa kwangu mpaka kufa kwangu sijawahi kuona
Rais au mtu yoyote akisifiwa akiwa ndani ya muhula wake zaidi ni vilevile "bora...
Niliwahi kuleta uzi wangu hapa kuhusu hili suala mwezi August, kwenye stories of change kwa lengo la kutoa ushauri kwa serikali wa namna bora ya kukabiliana na hili suala...
Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa upinzani kuwaaminisha wananchi kwamba mambo matatizo mengi tuliyo nayo, yanatokana na katiba mbovu tuliyonayo.
Madai haya yanaweza kuwa na ukweli ila ni kwa kiwango kidogo sana. Ukweli ni kwamba hata katiba bora yenyewe huwa ni matokeo ya msuguano wa hoja...
Kilichonifanya niandike ujumbe huu ni baada ya kukutana na kisa kimoja kilichonitoa machozi. Ilikuwa kama mida ya saa saba mchana rafiki yangu (jina nalihifadhi) alinifata nyumbani kwangu napoishi, nilimkaribisha ndani bahati nzuri alifika mda ambao nilikuwa napata chakula cha mchana na familia...
Mapungufu yanayopatikana Tanzania na jinsi ya kuyasuluhisha ni kama ifuatavyo:-
Sekta ya Afya
Kwenye sekta ya afya kina baadhi ya sehemu serikali imefanikiwa ila kwa asilimia kubwa kina mapungufu mfano hospitali nyingi na zahanati zina upungugu wa madaktari, manesi, sawa na upungufu wa vitanda...
Kiswahili ni lugha adhim inayotumika sana katika ukanda wa afrika ya mashaliki, Asili yake ni inchini Tanzania ambako ndiko kuna waswahili wenyewe hasa, Pamoja na juhudi za Kiswahili kama lugha kukua na kuendelea zikiendelea, kiswahili kinapitia changamoto zifuatazo kutoka kwa waswahili wenyewe...
Mfumo wa sheria, matumizi ya sheria mazuri ya sheria, sheria inapotumika vibaya hupelekea kutokuwepo na haki za binadamu kwani kwa watu ambao wanatamani kutoa mawazo yao au kukosoa selikali hubambikiwa makosa ya jinai. Mfano kesi mbalimbali za wanachama wa chama pinzani kwa kugunguliwa kesi za...
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.
Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
bajeti 2021/22
bunge la bajeti
fedha
habari
kazi
kikao
kiongozi
kitu
mawasiliano
moto
mwigulu
mwigulu nchemba
mzima
rais samia
samia suluhu
simu
swali
tatizo
tigopesa
tozo
tozo za miamala
tozo za simu
utatuzi
wakati
waziri
waziri mkuu
NAIBU WAZIRI ATUA SAME MASHARIKI KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO YA SIMU, DATA NA REDIO
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa huduma ya mawasiliano ya simu, data na redio katika kata mbili za Vuje na Bombo...
Wana jamvi,
Ni miongo kadhaa sasa kwa mjibu wa sheria kila anayepata ajali ili apokelewe na kutibiwa na hospitali/zahanati au vituo vya afya ni sharti mgonjwa awe na Fomu iliyotolewa na kituo cha polisi alikoenda au kupelekwa kabla.
Utaratibu huu umesababisha madhara makubwa ikiwemo vifo...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemuagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Anthony Sanga kutoa taarifa kwa mamlaka zote za maji nchini kuanza kutumia mfumo wa malipo kabla ya matumizi (LUKU) ili wateja walipe maji kutokana na matumizi yao.
Aweso amesema hayo leo Mei 31,2021 mkoani Arusha, wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.