utawala wa kifalme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utawala wa kifalme ni bora sana. Jordan vs Tanzania

    Jordan ina watu 11m. Tanzania 65m. Ukubwa wa Jordan ni kilomita za eneo 80, 000 na kidogo. Tanzania ni kilomita za eneo 950,000. Jordan inaingia kama mara 12 kwa tz. Mto pekee Jordan ni mto Jordan wanaoshare na Israel. Ni nchi kame. Maji wanategemea ya visima. Hawana ardhi ya kulima. Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Familia ya Rais Mstaafu ichaguliwe iwe ya Kifalme Tanganyika, tusiwe tunahangaika na Uchaguzi wa Rais

    Katika zama hizi za mabadiliko ya kisiasa na kijamii, ni wazi kuwa taifa letu linaendelea kukumbana na changamoto nyingi kila uchaguzi mkuu unapokaribia. Hofu, migawanyiko ya kijamii, matumizi makubwa ya rasilimali, na vurugu za kisiasa zimekuwa zikijirudia kila mara tunapojitayarisha kumchagua...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango amuwakilisha Rais Samia katika Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na miaka 200 ya Utawala wa Kifalme wa Lesotho

    1. Lesotho ni nchi inayozungukwa na Afrika Kusini kila upande. 2. Leo tarehe 4 Oktoba 2024 inatimiza miaka 200 toka kuundwa kwake na Mfalme Moshoeshoe I. Tunashukuru Kwa kutuwakilisha. ========== Maseru, Lesotho – 4 October 2024 The Vice President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…