Profesa Anna Tibaijuka anasema kwamba kusema matukio ya Oktoba 29, 2025 ni ya kupangwa, kama serikali inavyodai, siyo sahihi. kwa mujibu wake, kilichotokea ilikuwa ni mshituko, “rapture,” uliotokana na hasira za wananchi dhidi ya utawala wa mabavu
Pia soma: Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia...
Viongozi wa Afrika mtindiko wao wa ubongo ni ule ule wa madaraka ya kulevya,
Kaguka kipindi iko anaongea kwanini tuuane kuhusu madaraka ambayo mtu anabadilishwa kila baada ya muda fupi na wakati sasa hivi yeye hataki kutoka madarakani na anaua/anakamata yeyote anayejaribu kumchallenge kweli...