tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Viongozi wa Afrika mtindiko wao wa ubongo ni ule ule wa madaraka ya kulevya,
Kaguka kipindi iko anaongea kwanini tuuane kuhusu madaraka ambayo mtu anabadilishwa kila baada ya muda fupi na wakati sasa hivi yeye hataki kutoka madarakani na anaua/anakamata yeyote anayejaribu kumchallenge kweli madaraka hayana tofuati na madaya ya kulevya ukiwa nje unaona wenwako wanashida na wewe hauwezi kupatwa na shida hiyo alafu leo baada ya kupatwa na kuanza kukulevya hata huamini kama ni yule yule kaguta museveni