utawala wa wakoloni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wakoloni Waliwezaje kupeleka maendeleo bila kugawa Mikoa au Wilaya nyingi?

    Wakoloni walipeleka maendeleo kwa kutumia mfumo wa amri, kulazimisha kazi, na kujenga miundombinu maalum kama reli kutoa rasilimali badala ya kugawanya utawala. Hasara za kugawa wilaya nyingi ni kuongeza gharama kubwa za uendeshaji kwa mlipakodi, migogoro ya mipaka, na urasimu. Marekani haigawi...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Utawala wa wakoloni ndio umetufikisha hapa

    Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru kuendelea kuwa na matatizo yanayojirudia kila siku, Scanning Officer maoni ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Hamis Shabani Taletale (Babu Tale) anadhani tunafeli wapi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hivi tatizo kubwa la Wakoloni lilikuwa ni nini mpaka tukaamua waondoke?

    Mbona naona kama wakoloni walikuwa wanaleta maendeleo kwa kasi kwenye nchi zetu, Walikuwa wanajenga reli, shule na vituo vya afya. Walikuwa wanajenga viwanda muhimu vya uchakataji. Walikuwa wanafungua ardhi kwa mashamba makubwa ya kilimo cha kisasa. Walikuwa na mipango miji bora. Walikuwa...
Back
Top Bottom