Wakoloni walipeleka maendeleo kwa kutumia mfumo wa amri, kulazimisha kazi, na kujenga miundombinu maalum kama reli kutoa rasilimali badala ya kugawanya utawala.
Hasara za kugawa wilaya nyingi ni kuongeza gharama kubwa za uendeshaji kwa mlipakodi, migogoro ya mipaka, na urasimu. Marekani haigawi...