Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani.
Jamaa alikuwa anaongea mambo ya kitaalam Kwa nguvu nyepesi Sana.
Nikiwa kwenye Bajaji na jamaa wawili waliokuwepo Geita enzi za huyo...
Katika hali isiyo ya kawaida Jeshi la Marekani lilipata pigo la mwaka ndani ya ardhi ya Iraq baada ya mmoja wa watu muhimu sana ndani ya Jeshi lake kuuwawa ktk tukio ambalo lilifanya USA kumualika rafiki yake wa Israel kusaidiana kuteguwa kitendawili maana mtu alie kuwa ameuwawa sio tu alikuwa...
Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you.
Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi.
Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike.
Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MONDULI WALETA MVUTANO
Na John Walter-Arusha
Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Monduli Thomas Meiyan, ameiomba kamati ya ulinzi na usalama iliyopo chini ya mwenyekiti mkuu wa wilaya hiyo Frank Mwaisumbe kuharakisha uchunguzi wake uliokuwa unaendelea ili...
Zamani wakati dola ya Rumi ni jamuhuri, walikuwa wanafanya uchaguzi kila mwaka. Kila mwaka walikuwa wanachagua viongozi(consulars) wawili kuwaongoza.
Hawa walikuwa ni watu walioonyesha uwezo wa kiuongozi na kivita na walipitia ngazi kadhaa hadi kufaa kuchaguliwa uconsular. Maconsular hawa...
Tunashuhudia kwa nyakati hizi tulizo nazo watoto wa viongozi mbalimbali nao kuwa na kauli au nguvu za kufanya matendo ambayo sio halali ambayo hatimaye hupelekea kuleta aibu kwa wazazi wao kama tulivyoshuhudia hivi Majuzi kisa cha mtoto wa ndugu yetu Simbachawene, na hili sakata la mtoto wa...
Huku centre boulevards of Brussels bila shaka hii ni mitaa maarufu ambako Lissu anapendelea zaidi kutembelea!
Au Kama yupo nje na Brussels huko Antwerp au Le ROI centre hawezi kukumbuka tena kurudi kwenye siasa za Tanzania. Miezi michache nyuma kilio Cha tundu Lissu ilikuwa ni kulipwa stahiki...
Ombi hilo limesainiwa na Waziri Mkuu Ariel Henry kwenda Jumuiya za Kimataifa linaeleza kuwa nchi inakabiliwa na hatari ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu na hivyo inahitaji msaada wa haraka kudhibiti uhalifu wa magenge yenye silaha.
Tayari Ubalozi wa Marekani umesema Serikali yao haiwezi kwasasa...
Kwa hili la Tril. 360 sasa nimeamini kuwa UTAWALA wa AWAMU ya 5 ulitawaliwa na UONGO kila ENEO.
Rais aliunda Tume ya KUCHUNGUZA Ukwepaji wa kodi uliofanywa na BARRICK inakuja na Matokeo Eti tumeibiwa sana Tril.360. Rais anawahakikishia Watanzania na DUNIA kumbe ni KANYABOYA.
Kumbe hata Susla...
Kifo cha Mahsa Amini msichana wa miaka 22 anayedaiwa kuuawa na Askari kutokana na kutoficha nywele zake kwa Hijab, kimeamsha hisia kali za wanawake na wasichana wanaoshinikiza kuondolewa kwa Utawala wa Kiislam.
Licha ya Serikali kuagiza uchunguzi, bado kumekuwa na mashinikizo ya raia na vikundi...
Washington. Serikali ya marekani imeliomba bunge kupitisha ombi jipya la bajeti ya matumizi kwa ajili ya Ukraine linalokadiriwa kufikia trilion 28.
Ombi hili jipya la utawala wa Biden linalenga kuisaidia Ukraine kijeshi na kiuchumi katika kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
Senators from both...
UTAWALA BORA
Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au maslahi yao kwa namna moja au nyingine. Maamuzi hayo yanaweza kuwa yanagusa nyanja za kisiasa, kijamii...
Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme:
1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala.
2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati
3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme
4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa...
MADA; UCHUMI NA UTAWALA BORA TANZANIA.
UTANGULIZI
nchi yeyote ile Ili ikue kiuchumi inahitaji serikali iliyo bora na imara, Kwa maana ya kwamba serikali ambayo misingi ya democrasia na haki za raia. Serikali ambayo itasimamia rasilimali za taifa lake Kwa umakini mkubwa, kuziendeleza na...
Mabadiliko katika nyanja za kielimu, utawala,uchumi, afya,kilimo sayansi na teknolojia yanaweza kuchochewa na sababu zifuatazo.
Uzalendo. Uzalendo ni miongoni mwa sababu kubwa sana inayoweza kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali.
Mfano, katika nyanja ya elimu kama walimu na baadhi ya...
Katika vitu ambavyo naviona ni primitive kwenye dunia ya leo, ni pamoja na Tawala za Kifalme.
Kuamini kizazi cha mtu mmoja ndio kinafaa na kinastahili kuongoza watu katika taifa fulani, kwangu ulikuwa ujinga wa mtu wa kale na ni miongoni mwa mambo ambayo binadamu wa leo ambae tunaamini yuko...
UMUHIMU WA KUWA NA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NA KUZINGATIA UTAWALA BORA
Dira ya taifa ya maendeleo ni kielelezo ambacho jamii au taifa linaongozwa kufanikisha matakwa au matumaini ya kuwa na maisha bora zaidi katika muda uliokusudiwa na matakwa hayo sharti yaeleweke na kukubaliwa na jamii au...
Awali ya yote itakuwa mujarabu nikianza kuelezea kwa kifupi maana ya maneno uwajibikaji na utawala bora. Aidha maneno hayo ni kama chanda na pete. Ni kwa nadra sana unaweza kuyatenganisha.
Uwajibikaji ni neno ambalo lipo katika mawanda mapana hususan katika maisha ya mwanaadam. Neno hilo...
TUNAWEZAJE KUPATA UTAWALA BORA?
Hakuna namna eneo lolote linaweza kujiendesha lenyewe bila uwepo wa utawala kuanzia ngazi za chini za kitongoji mpaka za kitaifa.Uwepo wa utawala ni wa muhimu sana ili kuhakikisha kuwa shughuli zote zinazofanyika katika eneo husika zinaenda sawa chini ya...
UTAMBULISHO
Andiko hili limeandikwa na Mkalimani Nyakaya, kama mwandishi mkuu wa andiko, kwa upana, linakwenda kuangazia nyanja ya utawala bora na demokrasia, likigusa sheria kandamizi na vitendo vya ukiukwaji wa haki na uhuru vinavyofanyika sehemu mbalimbali ndani ya bara la Afrika.
Mwandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.