UTAWALA BORA
Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au maslahi yao kwa namna moja au nyingine. Maamuzi hayo yanaweza kuwa yanagusa nyanja za kisiasa, kijamii...