Nawasalimu kwa jina chama pendwa, CCM.
Leo nami natumia haki yangu ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT. Tangu jana mitandaoni suala kubwa lililoibuka ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Ndugu Makonda kudai kuna vitisho dhidi ya maisha yake. Watu wengi sana wameongelea kuhusu...
Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Hapa ndipo tunapopata aina mbili za utawala yaani Utawala Bora na Bora Utawala. Hii Bora Utawala ni aina ya utawala isiyofuata misingi ya Sheria na ikishamiri sana kwenye taifa lolote basi huenda...
Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho.
Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili...
Nini Maana ya Utawala Bora?
Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi kijamii au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji wa watu, ufanisi, tija, uadilifu usawa na...
Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali.
Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa...
Mama Samia kama unajua ama haujui kuna jambo baya linafanyika kupitia utawala wako. Nimetembea ofisi za binafsi hasa mabenki kutokana na nature ya shughuli zangu za binafsi nimekutana na jambo la hofu sana.
Kuna barua zinazambazwa kuomba mchango wa kufanikisha sherehe za mwaka mmoja toka...
Kuna baadhi ya nchi au mataifa yanayo ingiliana kimaeneo au utawala baadhi ya Mataifa hayo ni;
1. Nchi zenye maeneo katika bara la Asia na Ulaya.
Ni Urusi na Uturuki. Yaani maeneo haya yanapatikana kati ya ulaya na Asia
2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu...
Wabunge wa Mali leo Jumatatu wameidhinisha mpango wa kuruhusu utawala wa kijeshi kutawala kwa hadi miaka mitano.
Kwa mujibu wa waandishi wa habari wa AFP hatua hii inajiri licha ya uwepo wa vikwazo vya kikanda vilivyowekwa nchini Mali kutokana na kucheleweshwa kwa uchaguzi.
Wabunge 120 wa...
Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi.
Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres...
kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama,
Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT,
dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti.
Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo. Lakini endapo tu watatenganishwa na wanafunzi wa kiume na...
Misri ni maarufu kwa piramidi zake kubwa, miili iliyozikwa ndani yake na hazina zake za dhahabu. Lakini ni kiasi gani tunajua kuhusu Misri ya kale? Je, Piramidi Kuu ilijengwa na watumwa? Maiti ziliandaliwaje?
Taarifa 5 Bora zilizoandikwa na Joyce Tildesley, mtafiti kuhusu Misri.
Usipande...
Kwanza naomba kukupongeza kwa kuendelea kuaminiwa kwako kutumikia serikakli yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia awamu ya nne hadi leo awamu ya sita hongera sana.Naomba kuzungumza na wewe leo wakati huu unapoenda kushika madaraka ya wizara mpya lakini kwa kweli nikili wazi kuwa kwako...
Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja.
Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa...
Kwanza nianze na chama tawala CCM, kwa hali ilivyo hadi sasa si shwari ndani ya chama cha CCM, kuna mpasuko mkubwa ,mpasuko huu umesababishwa na kutofautiana kiitikadi na misimamo. Kundi la kwanza ni lile lililokuwa kinyume na JPM, hili kundi lilikuwa halikubaliani na sera ya kujitegemea ya JPM...
Tangu mama kuingia madarakani kwa bahati mbaya ya kufa kiongozi mpendwa Tanzania magufuli amekuwa hana political base kwa hivyo amejibainisha kama mtetezi wa kupata madaraka wanawake.
Tunaweza kusema baada ya kutofautiana na spika na Spika kujidhalilisha kwa kuomba kinyonge msamaha kwa jambo...
Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM.
Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha Uongozi napenda kusema nimeridhika kwa namna ambayo analiongoza Taifa letu pendwa la Tanzania. Amepata...
Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa.
Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.