utawala

  1. Sakata la Makonda limeonyesha wengi wetu hatupo tayari kwa utawala wa kisheria

    Nawasalimu kwa jina chama pendwa, CCM. Leo nami natumia haki yangu ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT. Tangu jana mitandaoni suala kubwa lililoibuka ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Ndugu Makonda kudai kuna vitisho dhidi ya maisha yake. Watu wengi sana wameongelea kuhusu...
  2. Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika Taifa lolote kuendelea, Viongozi msilambe asali mkajisahau

    Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Hapa ndipo tunapopata aina mbili za utawala yaani Utawala Bora na Bora Utawala. Hii Bora Utawala ni aina ya utawala isiyofuata misingi ya Sheria na ikishamiri sana kwenye taifa lolote basi huenda...
  3. Utawala wa Mpinga Kristo u karibu

    Utawala wa USA na Western Europe unaelekea ukingoni. Dalili zote ziko wazi na maandalizi yote yako tayari. Alana ya 666 itatumika kwa Kila mkaazi wa dunia Kama kitambulisho. Tayari sarafu ya Euro ina alama hizo. Hili tukio haliko mbali na itakuwa bahati kuvuka miaka kumi ijayo kabla ya hili...
  4. J

    Athari za kutokuwa na Utawala Bora

    Nini Maana ya Utawala Bora? Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi kijamii au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji wa watu, ufanisi, tija, uadilifu usawa na...
  5. Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

    Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali. Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa...
  6. Rais Samia kataa kutumika kupitia sherehe ya mwaka mmoja wa utawala wako. Kuna pesa zinachangishwa

    Mama Samia kama unajua ama haujui kuna jambo baya linafanyika kupitia utawala wako. Nimetembea ofisi za binafsi hasa mabenki kutokana na nature ya shughuli zangu za binafsi nimekutana na jambo la hofu sana. Kuna barua zinazambazwa kuomba mchango wa kufanikisha sherehe za mwaka mmoja toka...
  7. Zifahamu nchi (Mataifa) yanayoingiliana kimaeneo au kiutawala

    Kuna baadhi ya nchi au mataifa yanayo ingiliana kimaeneo au utawala baadhi ya Mataifa hayo ni; 1. Nchi zenye maeneo katika bara la Asia na Ulaya. Ni Urusi na Uturuki. Yaani maeneo haya yanapatikana kati ya ulaya na Asia 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu...
  8. Bunge la Mali limeidhinisha Utawala wa Jeshi wa miaka mitano

    Wabunge wa Mali leo Jumatatu wameidhinisha mpango wa kuruhusu utawala wa kijeshi kutawala kwa hadi miaka mitano. Kwa mujibu wa waandishi wa habari wa AFP hatua hii inajiri licha ya uwepo wa vikwazo vya kikanda vilivyowekwa nchini Mali kutokana na kucheleweshwa kwa uchaguzi. Wabunge 120 wa...
  9. Utawala wa kijeshi wa Mali washindwa kulipa madeni yake

    Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa Afrika Magharibi. Tangu mwezi wa Januari, wakala unaoshughulikia madeni wa ukanda huo, Umoa-Titres...
  10. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa OR-Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

    kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama, Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT, dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
  11. Utawala wa Taliban umetangaza wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo endapo tu watatenganishwa na wa kiume

    Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti. Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo. Lakini endapo tu watatenganishwa na wanafunzi wa kiume na...
  12. Historia ya Misri: Wafalme waliooa dada zao na habari zisizojulikana

    Misri ni maarufu kwa piramidi zake kubwa, miili iliyozikwa ndani yake na hazina zake za dhahabu. Lakini ni kiasi gani tunajua kuhusu Misri ya kale? Je, Piramidi Kuu ilijengwa na watumwa? Maiti ziliandaliwaje? Taarifa 5 Bora zilizoandikwa na Joyce Tildesley, mtafiti kuhusu Misri. Usipande...
  13. F

    Kwako Jenister Mhagama, Waziri wa Utumishi wa umma na Utawala Bora

    Kwanza naomba kukupongeza kwa kuendelea kuaminiwa kwako kutumikia serikakli yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia awamu ya nne hadi leo awamu ya sita hongera sana.Naomba kuzungumza na wewe leo wakati huu unapoenda kushika madaraka ya wizara mpya lakini kwa kweli nikili wazi kuwa kwako...
  14. Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja. Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa...
  15. 2025 ni mwaka wa historia, upinzani wanakwenda kuchukua madaraka ya utawala. Kwa Mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa taifa hili

    Kwanza nianze na chama tawala CCM, kwa hali ilivyo hadi sasa si shwari ndani ya chama cha CCM, kuna mpasuko mkubwa ,mpasuko huu umesababishwa na kutofautiana kiitikadi na misimamo. Kundi la kwanza ni lile lililokuwa kinyume na JPM, hili kundi lilikuwa halikubaliani na sera ya kujitegemea ya JPM...
  16. Kisa cha kutimuliwa Job Ndugai Uspika na utawala badala ya kutimuliwa na Wabunge

    Tangu mama kuingia madarakani kwa bahati mbaya ya kufa kiongozi mpendwa Tanzania magufuli amekuwa hana political base kwa hivyo amejibainisha kama mtetezi wa kupata madaraka wanawake. Tunaweza kusema baada ya kutofautiana na spika na Spika kujidhalilisha kwa kuomba kinyonge msamaha kwa jambo...
  17. Assessment ya Utawala wa Awamu ya 6 tangu Machi hadi leo Desemba 31, 2021. So far so good, hongera Samia!

    Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM. Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha Uongozi napenda kusema nimeridhika kwa namna ambayo analiongoza Taifa letu pendwa la Tanzania. Amepata...
  18. Tuache unafiki, Utawala Awamu ya 5 ulikuwa hatarishi!

    Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi. Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa. Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea...
  19. Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

  20. Tujukumbushe mambo yaliyopigwa marufuku utawala wa awamu ya 5

    Mambo gani unayakumbuka yalipigwa marufuku wakati wa Utawala wa awamu ya 5. Mimi naanza na Baa mwisho saa tano usiku. Karibu uendelee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…