utawala

  1. JamiiForums Tanzania Vyama vingi vilikubalika ili kuwaonyesha mabeberu kuwa tuna utawala wenye demokrasia

    Niliongea na jirani yangu ambae ni kada kindaki ndaki, aliniambia upinzani hauwezi kutangazwa mshindi hata ukishinda. Nilimuuliza ni kwanini iwe hivyo? Jibu lake ni kuwa CCM na watu wake walijitoa mhanga katika ukombozi wa bara la Afrika na wamewekeana kiapo na vyama vyote vilivyopugania uhuru...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwelekeo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu umedhihirisha umaskini mkubwa uliozalishwa nchini ndani ya miaka 5 ya utawala huu

    Mwezi mmoja umekatika tangu kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Hali halisi inaonesha dhahiri Taifa lilivyobugikwa na umaskini uliozalishwa ndani ya miaka 5 ya utawala huu wa awamu ya tano. Taifa limeshuhudia wagombea urais kushindwa kufanya kampeni kwa kukosa fedha, kushindwa kuandaa mabango kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yatoa Tathmini ya Mchakato wa Uchaguzi 2020

    Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora - THE COMMISSION FOR HUMAN RIGHTS AND GOOD GOVERNANCE (CHRAGG) anazungumza kuhusu uchaguzi huu wa 2020. Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina Mwaimu aliteuliwa na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli mwezi Oktoba 2019...
  4. JamiiForums Tanzania Sasa hawaitaki tena Katiba ya Warioba, wanataka kama ile ya Marekani yenye mfumo wa utawala wa majimbo

    Sasa wameweka wazi aina ya katiba mpya wanayoitaka. Wanakusudia kuufumua kabisa mfumo wa utawala wa nchi yetu na kuufanya uwe kama ule wa Marekani wa majimbo yanayojitegemea. Nchi yetu itagawanywa kwenye majimbo (kanda) kama tisa hivi kama zilivyo kanda za chama hicho. Kila kanda itaongozwa na...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jengo la Utawala la Chuo Kikuu Makerere lateketea kwa moto

    Moto mkubwa umezuka katika jengo la Utawala la Chuo Kikuu cha Makerere Jijini Kampala nchini Uganda usiku wa kuamkia leo Jengo hilo ni moja ya vivutio Jijini Kampala hivyo taarifa za kutokea kwa moto zimewaumiza wengi Hadi sasa chanzo na kiwango cha hasara iloyosababishwa na moto huo...
  6. JamiiForums Tanzania Kabila Joseph ulingoni tena kwenye siasa za uwazi za Congo DR.Hii imekaaje kwa mustakabali wa taifa hili chini ya utawala mpya wa Rais Tshekedi?

    Wakuu salaam. Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu mtu chake zitto junior mng'ato Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo hasa ukizangia tetesi kwamba na uhusiano wake na rais Tshekesi kwa sasa hauko imara sanA. Na kama...
  7. JamiiForums Tanzania Ewe mwananchi, Septemba 7 yako ni nini katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Magufuli?

    Kumbe sptemba saba haimhusu Lissu tu kipigwa risasi. Wengi wetu tuna septemba 7 zetu. Lissu kanifumbua macho! Binafsi Septemba 7 yangu ni kutoongezwa mshahara wala kupandishwa cheo kwa miaka mitano iliyopita. Matokeo yake ni nini? Matokeo yake ni kwamba mipango yangu yote ya maendeleo...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli aliwasema na kuwadhalilisha watu barabarani, leo naye anasemwa vibaya barabarani huko huko

    Pamoja na mapungufu ya awamu zilizopita kiutawala, lakini awamu hii ya tano haikufuata kabisa utawala Bora. Watu wamekuwa wakifokewa hovyo hadharani, watu wamekuwa wakidhalilishwa hovyo hadharani, watendaji wa Serikali wamefukuzwa kazi mabarabarani, kwa kile kinachoitwa kutumbuliwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli Watanzania wengi wameondolewa tabasamu, Nimeona kwenye Kampeni za CCM

    Nafuatilia sana kampeni haswa za mgombea uraisi kwa CCM, nimeona ukweli was utafuti uliotoka na hitimisho kuwa Tanzania ni moja ya mataifa ambayo watu wake hawana furaha. Angalia:- - Utaona watu wanaohudhuria mikutano ya mgombea wa CCM wengi hawashangalii, wananafanya mambo kwa kulazimishwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia la utawala

    NYUMA YA PAZIA LA UTAWALA. Na. Robert Heriel. Maandishi ya Robert Heriel, kwa Lugha ya Kiswahili. Makala hii isomwe kwa akili kubwa kwa wenye akili kubwa. Isomwe kwa akili ndogo kwa wenye akili ndogo. Lakini yote ya yote naomba nieleweke kuwa Mada hii ni habari za kimkakati na siri kwa walio...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awataka wanachama kutoshangilia kwa hofu ya mapingamizi, afikiria kuweka pingamizi

    =========== Tundu Lissu amewataka wanachama wasishangilie sana kwani wanatarajia mapingamizi hivyo wasubiri kesho mpaka saa kumi kuona hali itavyokuwa. Tundu Lissu: Sio wao peke yako wanaojua kuandika mapingamizi na sisi tunajua hivyo usiku huu nitaangalia kitu gani tunacho ambacho tunaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni tanzi kwa utawala

    Kwa sisi wazee wa imani . ukisoma Yoshua 23: 12- 13. wana wa israel waliambiwa na joshua . wasirudi nyuma ,wasonge mbele kuwaondoa wale wana wa kanaani wote . wakiwaacha itakuwa mtego na kitanzi kwao . Hoja yangu ni kuwa kwa kuwa wao waliamua kummaliza lissu na ikashindikana . sasa hii imekuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio ya kukumbukwa katika miaka mitano ya Utawala wa Rais Magufuli

    Mbunge wa Arusha Godbless Lema aliwekwa ndani kwa miezi kadhaa kwa kuota ndoto na kuielezea kuwa ameota Rais amefariki. Mbunge wa Mbeya alipata kesi ya uchochezi. Siku ya hukumu hakimu alipata maagizo kutoka juu kuwa ni lazima Sugu afungwe. Sugu alianza maisha ya jela. Sugu akiwa mtoto...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kwa Tundu Lissu: Simamia 'agenda' hii ya kimapinduzi

    Muheshimiwa Tundu Lissu, Kwanza napenda kukupongeza kwa kuteuliwa kwako kupeperusha bendera ya chama chako katika uchaguzi huu wa 2020. Pili, Sera hii yako ya Mifumo ya kifalme ni sera moja kubwa na yenye mashiko makubwa na yenye uwezo mkubwa wakuleta mapinduzi ya kifikra kwetu watanzania na...
  15. JamiiForums Tanzania Katika kila mfumo wa utawala wa nchi kuna kauli hazivumiliki

    Ukienda Marekani ukaanza kusifu ujamaa wa Karl Marx na sera za kupinga ubepari watakuvumilia kwa muda tu wakiona unaanza kupata ushawishi watahakikisha unapotea. Ubepari na ubeberu ndio sera iliyoletea nchi yao maendeleo na kua tajiri kuliko nchi zote duniani. Vivyo hivyo kwa Uingereza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pale Rais Magufuli anapomsifu Mkapa kwa demokdasia na utawala bora

    Jana wakati Rais Magufuli anasoma hotuba ya Tanzia juu ya kifo cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, alizungumza mambo mengi mazito ambayo rais huyo aliyetutoka alilifanyia Taifa. Kwa kweli Mkapa ameacha alama katika nchi hii, yeye ndiye aliyesuka engine ya Tanzania ya leo tunayoiona. Yeye...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Afisa Mwandamizi, Geofrey Timoth achukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Afisa Mwandamizi Usimamizi wa Fedha kutoka Management ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Geofrey Timoth leo asubuhi katika Ofisi za Chama Cha Mpinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kwa kupitia chama hicho.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli akipigania maendeleo na kufanikiwa kuiingiza Tanzania kwenye uchumi wa kati kabla ya muda uliokuwa ukitarajiwa, jeshi la polisi wilayani Rombo limeendelea kulea na kushirikiana na wezi, wauza gongo, wauza bangi na wakabaji hali iliyosababisha wananchi wa vijiji...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiacha awamu ya pili utawala wa mwinyi. Kila awamu iloyofuatia kuna hela imepigwa tena nyingi

    Wakati wa mkapa ilipigwa hela ya epa tukapiga kelele wee tukaambiwa hakuna wizi ushaidi ulipoletwa ukazimwa kisiasa ikapita. Mweshimiwa mkapa kaja kukiri juzi hapa kwamba kweli hela iliibiwa na ilitumika kwenye uchagizi 2005. Awmu ya nne ya mweshimiwa Jk ilipigwa hela ya escrow. Tulipga kele...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…