Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Mbunge wa Arusha Godbless Lema aliwekwa ndani kwa miezi kadhaa kwa kuota ndoto na kuielezea kuwa ameota Rais amefariki.
Mbunge wa Mbeya alipata kesi ya uchochezi. Siku ya hukumu hakimu alipata maagizo kutoka juu kuwa ni lazima Sugu afungwe. Sugu alianza maisha ya jela.
Sugu akiwa mtoto aliyetegemewa na mama yake. Akiwa jela mama yake kwa wasiwasi alipata matatizo ya moyo kupiga kwa kasi (high BP) iliyopelekea figo kufanya kazi kwa ziada. Matokeo ya haya yote mama Mbilinyi alipoteza maisha kwa figo kishindwa kufanya kazi.
Baada ya Sugu kutoka jela ilifahamikakuwa alifungwa kimakosa.
Muandishi wa habari Kabendera alipata kesi ya Uhujumu Uchumi. Mama Kabendera akiwa kama mama Mbilinyi, Kabendera alikuwa tegemeo la mama. Mama Kabendera alifariki mtoto wake akiwa jela. Baada ya kumiomba Rais amhurumie Mtoto wake lakini hili halikusikizwa.
Mama Mbilinyi na mama Kabendera tuombeeni kwa kwa Mwenyezi Mungu atusaidie tupate utawala wa haki Tanzania.