Akiwa kwenye mahojiano yanayorushwa kupitia EATV katika kipindi cha Salama na Rais wa Yanga Engineer Hersi, Amesema kuna club ilikuwa imejipa utawala na kujiona wao ni vichwa. Sasa alikuwa kwenye mpango na bado yupo katika mipango ya kuwaonyesha kwamba Yanga ndiyo club kubwa zaidi...
UTANGULIZI.
👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi.
👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai 1966. Gafur Gulam ni mmoja wa waandishi maarufu wa karne ya 20 kutoka Asia ya Kati na alichangia sana...
TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO
Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?!
2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo.
3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi ile kujibu mbovu watumishi hawa hasa wanapofika wizarani.
Mfano mtu anatokea Geita, Katavi au...
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah.
Mashah wawili wa mwisho, baba na mtoto wake walitokana na mapinduzi ya ufalme halisi wa muda mrefu wa Qajar mwaka 1925...
1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako.
2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo...
Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu.
Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki kusema kuwa Nyerere alilazimia kutokuruhusuKanda hiyo kumtoa Rais wa Tanganyika.
Ingawa yote hayo...
Ni kweli CCM haina hazina ya wanachama bali wanavikundi vya kusifu na kuabudu ambavyo vimejaa vijana wengi Machawaa lakini hawana weredi wowote?
Je, ingekuwa na hazina isingekuwa inarudia kuteua wale ilio watema mwanzoni.
Hii haitoshi kudhibitisha hilo?
Tunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya kulevya kabla ya kudhibitiwa, huku akiutangazia umma kwamba ataweka hadharani Majina ya Waingizaji na...
Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto.
Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe...
Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao.
Serikali isikojirudi na kutengeneza idara imara za kidemokrasia itatoa mwanya huko mbele kama zile nchi tunazoona wananchi wameona...
Tujikumbushe majembe ya awamu ya 5. Kuna waliowapenda na kuna waliowachukia ila wafuatao walikuwa ndo majembe ya awamu ya 5;
1. JPM himself
2. Paul Makonda
3. Biswalo
4. Job Ndugai
5. Ole Sabaya
6. Ally Hapi
7. Mnyeti
8. Kalemani
9. Dotto
10. Ngusa
11. Gambo.
12. Polepole .
13. Dr. Bashiru.
14...
Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu.
Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa utawala wake kinyume kabisa cha Katiba ya Tanzania, yaani baada ya kumaliza utawala wake wa miaka...
Wadau hamjamboni nyote?
Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika
Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la...
WAKILI mahiri na msomi kweli kweli. Pia shangazi wa taifa, Bi Fatma Karume, amesema kuwa hatuna utawala wa sheria Bali tuna watawala wa sheria.
Hii inamaana gani kwamba nchi inaendeshwa kwa matakwa ya watu na sio kwa majibu wa sheria. Kwa maneno mepesi ni kwamba watawala au watu wenye...
Ufisadi katika utoaji wa huduma umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi. Inaathiri sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na afya, elimu, miundombinu, na utawala wa umma.
Nchini Tanzania, ufisadi katika utoaji wa huduma unaonekana katika njia kadhaa:
Rushwa...
Ni ushauri tu kwa ndugu yetu Ndugu Hamis Nyamsenda,Mwenyekiti wa mtaa wa Nyerere ulio katika halmashauri ya mji wa Bunda.Binafsi andiko hili halina maana kwamba tunakuchukia bali tumeamua kufanya haya ili ubadilike na kuwa kiongozi bora.
Binafsi umekuwa ukiitisha mikutano ya hadhara ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.