Masjala ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kesi iliyofunguliwa na Wakili Wakili Kisabo kuhusiana na madai ya kutoweka kwa mwanaharakati kijana Deusdedith Soka na wenzake wawili.
Soma Pia: Kutoweka kwa Soka na wenzake, IGP, DPP, OCCID Temeke kufikishwa Mahakamani kwa Hati ya dharura
Chanzo: Jambo TV
Wakuu,
Kwenye video hii kuna kijana anakiri yeye na wenzake kushirikiana kuiba watoto, ambapo kwa kila mtoto wanayeiba hupewa Tsh. 5,000.
Watoto hao huuliwa na kisha miili yao kupelekwa Dar. Video haielezei zaidi kama ni mambo ya ushirikina au nini.
Pia soma: Special Thread: Taarifa za Watu...
Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka
Makamu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA ametoa kilio chake ukurasani X
Ahsanteni Sana 🐼
======
Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka...
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya matukio matatu ya watu kutekwa/kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa wameuawa, likiwemo tukio la kijana Samwaja Sifael Said, Mkazi wa Kijiji cha Chalunyangu mkoani Singida kuuawa kisha kukatwa sehemu zake za siri na marafiki zake.
Tukio la...
“Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
ccm
dar es salaam
diwani
freeman mbowe
haki za binadamu
jpm
matukio ya utekaji
matumizi
nani
rasilimali
serikali ya ccm
tanzania
utekajidarutekaji na mauaji
Katika mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa anazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu sakata la wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA, Watanzania wengine wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi.
Watu kadhaa waliokutana na chagamato ya ndugu zao...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe.
Leo nitazungumza mambo mawili mahususi ambayo sisi kama Chama tunaamini yanagusa Watanzania na yanazua taharuki na hofu, nitazungumza kuhusu sakata la wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA, Watanzania wengine wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya...
Wanaharakati wa haki za binadamu na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakipaza sauti kupitia X kijana wao Deusdedith Soka kuchukuliwa na wanaosemekana na polisi na mpaka sasa hajulikani alipo.
Vijana wengine kutoka CHADEMA ambao ambao hawajulikani walipo baada ya sekeseke la maandamano ya BAVICHA...
Mtoto Ashfaki Abimu (5) mkazi wa Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam, amekutwa amefariki dunia katika eneo ya Mbagala Kibonde Maji ndani ya jumba bovu, baada ya kupotea kwa takribani siku tatu akiwa anacheza nje ya nyumba yao ambapo mwili wake umekutwa ukiwa umefanyiwa kitendo cha kikatili...
Agosti 5, 2024 - Mwanaharakati Deusdedith Soka, akizungumza kwa niaba ya vijana wa CHADEMA, ameeleza changamoto mbalimbali zinazowakabili vijana nchini Tanzania. Katika mkutano na waandishi wa habari, Soka ameonesha wasiwasi kuhusu ukosefu wa ajira kwa vijana, akisema kwamba licha ya vijana...
Salaam Wakuu,
Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
haki za binadamu
matukio watu kutekwa
matukio ya utekaji
mwisho
polisi wa tanzania na utekaji
uhai
utekajiutekajidarutekaji tanzania
wako
wasiojulikana
watu kupotea
watu kutekwa
watu waliopotea
watu wasiojulikana
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
Kutoka Ukurasa wa Boniface Jacob Mtandao wa X: SIKU 280 TANGU APOTEE ADINANI HUSSEIN MBEZI MIKONONI MWA POLISI
Maarufu kama (ADAM),umri wa miaka 32,mkazi wa Kinyerezi,mtaa wa Faru,Jimbo la Segerea,Baba wa watoto wanne.
1. Adinan Hussein Mbezi alipotea tarehe 12 September 2023 alipokuwa...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha hasa ya Vijana wenzetu.
Yalianza mdogomdogo lakini kadiri siku zinavyozidi Kwenda mbele kumekuwa na taarifa za hapa na pale kuhusu fulani na fulani kupotea, binafsi nimeanza kupata hofu licha ya kuwa Jeshi...
Jukumu kubwa kabisa la Polisi nchini, ni kuwalinda raia wake na Mali zao.
Inapotokea raia mbalimbali, wanapotea bila serikali yetu kutoa maelezo yoyote kuhusu kupotea huko, tafsiri yake ni kuwa wananchi tutaamini kuwa serikali yenyewe ndiyo inahusika.
Tumeshuhudia Kwa miezi kadhaa iliyopita...
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.