Ni zaidi ya siku 20 zimepita tangu dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Deogratius Shirima (34) mkazi wa kata ya Korongoni wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, kudaiwa ametoweka katika mazingira ya utata huku pikipiki aliyokuwa akitumia kukutwa nyumbani kwa Askari Polisi mkoani humo.
Mke wa...
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limetoa taarifa kuhusu kipandae cha video kilichoonekana mtu akitekwa mkoani humo. Angalia hapa tukio lilivyotokea
===
"Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linapenda kutoa ufafanuzi wa picha mjongeo (video clip) iliyoonekana kusambaa kwenye mitandao ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.