utekaji kujadiliwa bungeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Suala la utekaji kujadiliwa bungeni siku zijazo

    Wadau, Kuna kila dalili kwamba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaweza kuingia kwenye mjadala mzito na usiotarajiwa wiki zijazo kuhusu matukio ya utekaji, kupotea, na mauaji ya raia yanayodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana (ama wanaojulikana lakini hawatajwi?). Kwa mujibu wa vyanzo...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Inakatisha tamaa mtu kama Spika wa Bunge anapoelezwa kuhusu taarifa za utekaji anakanusha kuwa si sahihi

    Wakuu, Sheikh Ponda ametema cheche jinsi Spika Tulia alivyozingua na kucheza na maisha ya Watanzania kana kwamba matukio haya hayatokei na watu hawatekwei. ==== Sheikh Ponda amesema; "Namkumbusha Tulia Utekaji sio suala la kisiasa au la kubabaisha, ni suala linalohusu uhai wa watu. Ni suala...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Spika Tulia arejee taarifa za Bunge masuala ya utekaji yamewahi kufikishwa bungeni na Zitto Kabwe 2018

    Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kurejea kumbukumbu za Bunge, ili kuona namna Mbunge wa zamani wa jimbo la Kigoma mjini Zitto Kabwe alivyowasilisha hoja kuhusu uwepo wa matukio ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…