utekaji na mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kupotea Kwa wananchi kadhaa na serikali kuamua kukaa kimya, tafsiri yake ni kuwa wananchi tutaamini kuwa, serikali yetu inahusika!

    Jukumu kubwa kabisa la Polisi nchini, ni kuwalinda raia wake na Mali zao. Inapotokea raia mbalimbali, wanapotea bila serikali yetu kutoa maelezo yoyote kuhusu kupotea huko, tafsiri yake ni kuwa wananchi tutaamini kuwa serikali yenyewe ndiyo inahusika. Tumeshuhudia Kwa miezi kadhaa iliyopita...
  2. Polisi wanavyoongoza genge la utekaji na kuua

    Naitwa Clement Nkwabi mkazi wa Geita. Napenda kukushirikisha suala la mdogo wangu Joel Raphael Nkwabi. Tarehe 15/12/2023 majira ya saa 2 usiku alienda kuangalia mpira lakini hakurudi. Tar.16 asubuhi mke wake alipigiwa simu na namba mpya. Kupokea ilikua sauti ya mumewe akimjulisha kuwa amelazwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…