Habari wakuu,
Mimi nimefuatilia kwa muda idadi ya watu wanaopotea nchini nikabaini mambo matatu. Kuna masuala inabidi Wizara ya Mambo ya ndani isimame na kuanzisha kitengo ambacho kitasafisha jeshi ka polisi.
Jamani watu wanapotea kwasababu 3 tu
1. Ushirikina, tunaingia mwaka uchaguzi nadhani...
Kuna mchezo kama si wa kijinga basi ni wa kitoto unachezeka hapa..!
Watekaji mahiri hukuteka kwa lengo maalum kama si kisasi basi ni mambo ya kisiasa ama kikomboleo (ransom)
Sakata la Shadrack kwa mazingira yote ni la kisiasa.. Ni kijana fukara hana visasi na watu wanaoweza kumteka..labda kama...
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni...
Mzee Yusuph Sisala Chaula akiwa na mwanaye Shadrack Chaula
Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema amepigiwa simu akitakiwa kutoa Shilingi Milioni 3...
Salaam, shalom!!
Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili.
Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu.
Ushauri: Gari zote ziondolewe...
Demokrasia ya Tanzania bado ni changa na kuvumiliana Siasani kuko very limited
Mikutano ya Kisiasa huamsha hisia, mihemko na Mijadala isiyo na tija kwa Wananchi hivyo kuwapotezea Muda wao wa kuzalisha na kujipatia kipato
Ndio Sababu wakati wa katazo la Mikutano ya holela ya Wanasiasa nchi...
Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi.
Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa.
PIA SOMA
- Angekuwa...
Wakuu kwema,
Watu wasiyojulikana siyo maneno mageni kwetu, na mambo haya yameanza kitambo kuanzia enzi za Kikwete na Ulimboka (kusoma tukio hilo zaidi hasa kwa Gen Z soma hapa - Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana aliyetekwa na watu wasiyojulikana...
fichua watu wasiyojulikana
polisi vs watu wasiyojulikana
ukatili wa polisi
utekajinamauaji
vitendo vya utekaji
wasiojulikana
watu wasiojulikana
watu wasiyojulikana
Ni kweli kuna utekaji nchi hii ila ukisikiliza simulizi nyinhi za mashuhuda utakubaliana na mimi kwamba ukondooo wa Watanzania una play part kubwa sana huenda nusu yake.
Ukisikiliza shuhuda ni kwamba walikuja watu wakajitambulisha kwamba wao ni Polisi na wakaondoka na fulani, tukawaomba...
Watu wanne wamenusurika kifo baada ya kupigwa na kukatwa mapanga pamoja na gari waliyokuwa wakiitumia aina ya Raum kuchomwa moto katika Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara kwa kudhaniwa kuwa ni wezi wa kuiba Watoto baada ya kumpa pipi Mtoto aliyekuwa akipita pembeni ya gari yao waliyokuwa wanaitumia...
Kwenye kipindi cha asubuhi ya leo wakati wakipitia magazeti wametumia takribani robo tatu ya muda wote wa kipindi hicho kuelezea kadhia ya kupotea kwa watu katika mazingira yasiyoeleweka huku mamlaka husika zikisalia kimya.
Ukweli ni kwamba ukijaribu kuvaa viatu vya wale waliopotelewa na...
Ukiangalia kwa jicho la ndani utaona kuna mawazo kinzani juu ya hili swala la utekaji.
Serikali inasema hilo jambo halipo na watu wanajifanyisha tu maigizo ila utekaji haupo. Rejea kauli ya Rais.
Ukija bungeni spika anazuia jambo hili lisijadiliwe bungeni hata kinafiki tu ili kufunika kombe...
Nabii wa Mungu Godbless Lema amehoji namna ambayo Mtu aliyetekwa anavyoweza kukurupuka kutoka mikononi mwa Watekaji ili kuja Mahakamani kumthibitishia Jaji wa Mahakama ya Tanzania kwamba ni kweli katekwa, ili Jaji huyo awaamuru Watekaji wamuachie.
Hoja hii kabambe ya Nabii huyo wa Mungu...
ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB)
Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji. Boni yai anauliza taarifa ya miili...
Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30, mkazi wa Tabata Segerea,
Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku ya saba leo baada ya kutekwa na kupotezwa.
Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa...
Waziri Mkuu Akijibu Maswali ya Papo kwa Papo, Bunge la kumi na mbili mkutano wa 16 kikao cha 3 tarehe 29 Agosti, 2024
Update....
Waziri Mkuu Ametoa majibu ya matukio ya utekaji yanaendelea
Nataka nieleze kwamba tunapoilinda Nchi ni wajibu wetu Watanzania wote kwa kushirikiana na vyombo vyetu...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi, Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amekemea tabia inayoindelea kwa sasa ya watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu na kuibua maswali mengi yasiyo na majibu katika jamii.
Hapi ametoa kauli hiyo akiwa wilayani...
Agosti 26, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa mendelezo wa uchunguzi na mahojiano yaliyofanywa dhidi ya watuhumiwa watatu waliobainika kumuua Samwaja Sifael Said kwa kumnyonga hadi kupoteza uhai kisha kukata sehemu zake za siri na kufukia wili wake katika shimo.
Baada ya mahojiano na ushirikiano...
Jeshi la polisi [TANPOL] lenye jukumu la kikatiba na kisheria kulinda usalama wa raia na mali zao limekana kuhusika na ukamataji wa watu hovyo nje ya utaratibu wa kisheria kisha kuwapeleka kusikojulikana, kuwatesa na baadae kuwaua na kutupa miili yao porini au nyikani.
Kama ndiyo hivi, maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.