utekaji na mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Dkt Nchimbi Katibu Mkuu CCM: Hadidu za rejea za Tume ya Kuchunguza Mauaji Holela Ziko Wapi?

    Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu. Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
  2. Roving Journalist

    Pre GE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  3. K

    "Samia must go" kampeni iliyofeli baada ya kutamkwa

    Wengi hatufurahishwi na kinachoendelea nchini kwasasa. Utekaji na mauaji kwa watu wasio na madhara kwa serikali ni uonevu na kujiabisha kama nchi. Hili lazima lidhibitiwe Huenda yanayosemwa ni kweli kwamba nchi nyingi duniani zinautaratibu wa namna ya kushughurika na watu ambao ni threat kwa...
  4. Cute Wife

    Bashe kaletwa kututoa kwenye reli suala la utekaji na mauaji ya watu wasiyojulika pamoja na kesi ya afande, tusitoke kwenye reli

    Wakuu Salaam, Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo Hapa anajua lazima Watanzania...
  5. S

    Wanaotesa mpaka kuua, huwa wanavuta bangi kwanza au wanaua kavukavu bila kupata chochote cha kuwaondolea ubinadamu na eneo huwa ni sound proof?

    Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani. Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo...
  6. N

    Wanafunzi wanaosoma sayansi ya siasa (political science) UDSM walaani utekaji na mauaji

    Taarifa ya tamko inaeleza kama ifuatavyo👇
  7. Gulio Tanzania

    Kwanini wanaotekwa wengi huteswa kwanza kabla ya kuuawa?

    Nimekaa nawaza kwanini watekwaji wanakufa vifo vya kuteswa sana mpaka kiasi cha kufikia hatua ya kupigwa nondo mpaka kufa? Lengo la watekaji huwa nini Kuna taarifa gani huwa wanazitaka kutoka kwa mtu waliomteka? Kama mtu atateswa na kutoa siri Kuna haja gani ya kumpoteza uhai wake? Lengo la...
  8. Mr-Njombe

    Masauni na IGP Wambura wakijiuzulu itatoa picha gani kitaifa na kimataifa?

    Wana JF Kumekua na maoni, mitazamo, mapendekezo na wito kutoka kwa watu mbalimbali mashuhuri, taasisi na vyama vya kisiasa kumtaka waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ajiuzulu nafasi yake, lakini pia hata mkuu wa Jeshi la Polisi nchini nae kufanya vivyo hivyo kulingana na changamoto za...
  9. Suley2019

    Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini

    "Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza utekaji, kwa namna ambavyo tumeiona mahakama kuu inapuuzs utekaji, hivi kweli hiyo rai ya kumtaka...
  10. J

    Mo Dewji: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼 ====== Mohamed Dewji ameandika: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
  11. The Sheriff

    Wakazi: Wasanii hawajitambui. Kujipendekeza na uchawa ndio njia yao ya maokoto

    Wakazi ameandika hivi kweye ukurasa wake wa Instagram: Nimeona watu kwenye Twitter wakichukizwa na wasanii kwa kutosimama na jamii kupigania mambo muhimu, na mnafikiria kuanza kususia bidhaa zao (unsubscribe, unfollow, stop streaming, n.k.). Roma alitoa kauli ambayo hamjaielewa vizuri, na Nay...
  12. KING MIDAS

    Video: Imani imetoweka, hapa ndipo tulipofika sasa

  13. Mshana Jr

    Tumuombee sana Mzee Butiku wa taasisi ya Mwalimu Nyerere

    Juzi kaitisha press conference kuelezea hali ya usalama inavyoendelea nchini baada ya mauaji ya Mzee MeD kiongozi wa CHADEMA. Mimi kwangu kule nakuita kujilipua na uthubutu wa aina yake katikati ya mazingira tuliyo nayo sasa... Maana kusema KWELI na kwa UWAZI kwasasa ni kujitafutia majanga...
  14. J

    Mwakinyo: Mashehe na Masharif wa Tanga wafanye jambo Ili iwe fundisho, siyo kila jambo aachiwe Mungu kuamua!

    Bondia Maarufu nchini mh Mwakinyo amewataka Mashehe na Masharif wa Tanga kufanya jambo Ili iwe fundisho kwa wengine Mwakinyo amesema Tanga ina wanazuoni wakubwa wanaoheshimika hivyo Kifo Cha Ally Mohamed Kibao kikatoe somo kwa Wote wanaouchezea mkoa wa Tanga ========= Mwakinyo ameandika haya...
  15. Mr-Njombe

    Nini kifanyike ili kukomesha masuala ya kihalifu hasa ya utekaji?

    Kumekua na wimbi la matukio mbali mbali yameripotiwa kutokea nchini hivi karibuni. Unamaoni gani kwa Serikali, vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na kwa wananchi kwa ujumla kuhusu matendo haya ambayo yamekua yakiripotiwa mara kadha wa kadha ili yakome kabisa, kwasababu yamekua yakiichafua nchi...
  16. Konseli Mkuu Andrew

    Hata kama Jeshi la Polisi halihusiki ila linastahili kuwajibika juu ya utekaji na kuuawa kwa wananchi

    Kwa kanuni na Sheria ndani ya Jamhuri ya Tanzania, jeshi la Polisi Tanzania ndio lenye mamlaka ya kulinda raia na mali zake, hivyo vitendo vya wanananchi kutekwa na kuuawa jeshi ili linatakiwa kupokea lawama juu yake na kukabiliana nazo kikamilifu. Ni aibu sana tena kama wauni wanadiriki...
  17. JanguKamaJangu

    Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

    https://www.youtube.com/watch?v=LTs471j6rZI TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu...
  18. Heparin

    Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini

    10 September 2024 Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania; "Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
  19. S

    Kama Rais Samia ana nia ya kukomesha mara moja watu kutekwa na kuuawa, atoe tamko hili

    Inahitaji tamko moja tu kwa Raisi Samia kukomesha uteaji na uuaji wa raisa wa Tanzania. Anachotakiwa kufanya ni kutoa tamko hili kama Amiri Jeshi Mkuu; "Kwa kipindi hiki tukitafuta suluhisho la kudumu kokomesha utekaji na uuaji, ieleweke wazi kwa raia na wakazi wote hapa Tanzania kwamba kuanzia...
  20. covid 19

    Viongozi wetu jihadharini na msivilee Vikundi Vya Machawa Ndani ya Vyombo vya Usalama nchini wanawaharibia badala ya kujenga na ipo siku watawageuka

    Nikiwa mwanachama wa kawaida wa CCM, najivunia sana historia na harakati za chama chetu tangu enzi za uhuru. Hata hivyo, naona kuna mambo yasiyo sawa yanayotokea hivi sasa, ambayo yanatia hofu kubwa kwa usalama wa raia nchini. Tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Mzee Kibao na mfululizo wa...
Back
Top Bottom