Kule Bulyanhulu jana kuna utekaji wa vijana 3 umefanyika
Jana pia pale Ikungi kiongozi wa Chadema alitekwa.
Leo Njombe katekwa Katibu wa Bavicha.
Jeshi letu pendwa JWTZ, Kiapo chenu kikuu ni kuwalinda Wananchi wa Tanzania.
CCM wana kiburi cha uzima.Hawasikii maonyo na sasa wanazunguka nchi...