Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kule Bulyanhulu jana kuna utekaji wa vijana 3 umefanyika
Jana pia pale Ikungi kiongozi wa Chadema alitekwa.
Leo Njombe katekwa Katibu wa Bavicha.
Jeshi letu pendwa JWTZ, Kiapo chenu kikuu ni kuwalinda Wananchi wa Tanzania.
CCM wana kiburi cha uzima.Hawasikii maonyo na sasa wanazunguka nchi nzima kuteka na kuua Watanzania.
Tunawaomba mchukue nchi na muiendeshe kwa muda kuelekea kupata Katiba Bora na Mifumo imara ya kuiendesha hii nchi yetu.
Mungu awabariki JWTZ