stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
karibu kwenye kampeni mkuuNdugu mleta mada, ombi lako ndiyo ombi la kapteni Tesha. Kwahiyo mambo yako on fire
View: https://www.tiktok.com/@dir_gabodon/video/7552087850259418424
karibu kwenye kampeni mkuuNdugu mleta mada, ombi lako ndiyo ombi la kapteni Tesha. Kwahiyo mambo yako on fire
fanya kazi depression itaakuuaKuliko kutawaliwa na wahuni ni mara 100 kutawaliwa kijeshi!.
Huwezi kupenda maana ajira ya uchawa itakoma!.
Kwa mujibu ya mashuhuda walioko maeneo hayoKule Bulyanhulu jana kuna utekaji wa vijana 3 umefanyika
Jana pia pale Ikungi kiongozi wa Chadema alitekwa.
Leo Njombe katekwa Katibu wa Bavicha.
Jeshi letu pendwa JWTZ, Kiapo chenu kikuu ni kuwalinda Wananchi wa Tanzania.
CCM wana kiburi cha uzima.Hawasikii maonyo na sasa wanazunguka nchi nzima kuteka na kuua Watanzania.
Tunawaomba mchukue nchi na muiendeshe kwa muda kuelekea kupata Katiba Bora na Mifumo imara ya kuiendesha hii nchi yetu.
Mungu awabariki JWTZ
CCM mtandao ikiongozwa na Kikwete ndiye adui wa nchi hii, swali: jee JWTZ nalo linamgwaya huyu sheitwan JK?Kule Bulyanhulu jana kuna utekaji wa vijana 3 umefanyika