utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

    Wakuu, Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano? Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali msitutoe kwenye reli kwa hukumu ya kifungo cha maisha kwa maafande wahuni, bado tunawaza utekaji wa kutumia silaha za kivita mchana

    Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A. Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana. Serikali bado tunasubiri...
  3. Mlaleo

    Kwa mara ya Kwanza UN yawalaani Hamas - Katibu mkuu aongea kwa masikitiko unafiki umemshinda Dunia imejifunza kuwa utekaji sio tabia ya kibinadamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres analaani Hamas kwa kutoruhusu Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu kuwatembelea mateka huko Gaza. "Ningependa kulaani ukweli kwamba Shirika la Msalaba Mwekundu haliruhusiwi hata kuwatembelea mateka hao," Guterres anasema, katika hotuba yake...
  4. Richard

    Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  5. R

    Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

    Salaam, Shalom! Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa live kwenye halaiki na watu walio na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani? Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani? Pia soma: Rais Samia...
  6. Cute Wife

    Pre GE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo. Wakiambiwa mwenyekiti wao/...
  7. Gabeji

    Maandamano kupinga mauaji na watu wasiyojulikana yanatakiwa kuwa ya wananchi wote bila kujali dini wala chama cha siasa

    Ndugu watanzania, inchi yetu inapitia kipindi kigumu sana hasa juu la swala la mauwaji hayakubaliki kabisa iwe kwa sbb yoyote ile, mfalme yoyote yule hana mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yoyote yule. Rai yangu watanzania swala la kudai haki kwa njia ya amani ni la kikatiba, mandamano...
  8. Wakusoma 12

    Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

    Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
  9. Matulanya Mputa

    TUPINGE MNYIKA KUPEWA KESI YA MAUAJI NA UTEKAJI

    Kuna dalili na kila namna J Mnyika kupewa kesi ya mauaji ya mzee Kibao na utekaji. Niliwahi kusema na kurudia kuwa Police wanataka bambikizia kesi CHADEMA .
  10. mirindimo

    TETESI JOHN MNYIKA ATAPEWA KESI YA MAUJI NA UTEKAJI

    Katika hali isiyo ya kawaida Polisi wakiongozwa na Mafwele ambae anaogopwa mpaka na mihimili wamepanga kumpa John Mnyika kesi ya Mauaji , mipango ya kumkamata mda wowote imeshapangwa na inasubiri utekelezaji wake. YANA MWISHO , HAMTAWEZA KUTUUA WOTE
  11. D

    Tangu utekaji uanze sijawahi kuona mpango kazi wa kuzuia watekaji; Wengi wetu tunalaani badala kuja na suluhisho kama hivi

    Kila sehem tunalaani! Tunalaani! Tunalaaani! Yaani sisi afrika hatujui mambo mengine yanahitaji vitendo! Jeshi la polisi linalaani... Mashejh wanalaaani... Waziri analaaani... Wachungaji wanalaani.. Wananchi wanalaaani.. Bunge linalaaani... Rais analaaani... Yaani watu tunaotegemea mkae...
  12. Boss la DP World

    Sakata la Utekaji: Rais Samia anambeba Waziri Masauni

    Kwa maoni yangu, haijalishi watekaji ni vyombo vya ulinzi na usalama, CCM au CHADEMA, watu wa intelijensia walipaswa kupata taarifa na kuzuia mapema. Kama wameshindwa kufanya hivyo tafsiri yake ni kwamba wamezidiwa kete na watekaji au wao ndio watekaji. Kwa vyovyote vile Hamad Masauni ilibidi...
  13. Chakaza

    Mama Hata CCM Wamechoka na Utekaji, Mbunge Amtaja Mtekaji Kuwa ni Mtoto Pendwa.

    Huyu pamoja na kuwa ni mchungaji lakini kisiasa ni kiongozi yaani ni mbunge wa Kawe. Amepiga verse za kutosha na kwa lugha ya Alama ametutajia mtekaji mkuu kuwa ni yule aliteka studio za TV na akamteka mwanamuziki. Huyo mtu ni mtoto pendwa wa #1 na toka amrudishe kwenye system matukio...
  14. T

    Mohamed Issa: Kwenye hili la utekaji sio serikali pekee ya kunyooshewa kidole hata hao wapinzani wanaweza kutekana

    Akizungumza na BBC mchambuzi wa mambo ya kisiasa ndugu Mohamed Issa amesema kuinyooshea Serikali pekee kwenye mambo ya kupotea na kutekwa kwa watu sio sawa kwani hata vyama vya upinzani huwa vinafanya hayo matukio kama matokeo ya kutofautiana wao kwa wao. My take Hivi inawezekana kweli kwa...
  15. Waufukweni

    James Mbowe: Bunge la Tulia ni Dhaifu na Halina Ubinadamu

    Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
  16. PendoLyimo

    Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa

    Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko mazito kuhusu vitendo vya utekaji vinavyohusishwa na baadhi ya viongozi ndani ya chama cha CHADEMA. Matukio haya yanapokuwa ni sehemu ya majadiliano ya kisiasa na kijamii, tunapaswa...
  17. MLIMAWANYOKA

    ANTHONY MTAKA: Matukio ya Utekaji na uuaji hufanywa na makundi mbalimbali vikiwemo vyama vya siasa

    Nakubaliana na Amiri Jeshi Mkuu, kuhusu umuhimu wa kutafakari matukio kama ya risasi kwa Donald Trump, aliyekuwa Rais wa Marekani. Ikiwa tukio kama hilo lingetokea Afrika, jinsi ambavyo ubalozi na mataifa ya magharibi wangejibu ni swali la kujiuliza. Hivi karibuni, nguvu kubwa ya polisi...
  18. R

    Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  19. Cute Wife

    Pre GE2025 Umoja wa Vyama 13 vya Siasa: Tulidhani wananchi wangefanya Maandamano kumpongeza Rais kutoa kauli juu ya utekaji

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa mambo, chawa wengine hawa hapa! ==== Tukadhani jambo hili (utekaji) lipo Tanzania peke yake. Nazungumza haya kwasababu viongozi wenzetu wanasema wanahitaji uchunguzi, watu watoke nje. Huko ambako tunahitaji waje wenyewe huwa wanashughulikia na SMG – Amerika, ni nchi...
  20. Lady Whistledown

    LHRC: Ongezeko la Matukio ya Mauaji, Utekaji yanaonesha Udhaifu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Taarifa ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ya kulaani mauaji ya watu Watatu wa familia moja huko Dodoma imesema, hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko kubwa la matukio ya kikatili nchini hususani ya mauaji, watu kupotea na kutekwa ambayo yanaongeza hofu kubwa kwa wananchi kwani...
Back
Top Bottom