utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yesu Anakuja

    Ni kweli Dodoma jiji kuna utekaji watoto?

    Kuna picha moja inasambaa mitandaoni mtoto anasadikika kutekwa, kukatwa mkonona sehemu za siri huko Dodoma, na picha nyingine ya polisi Mkoa anasema mbwa wamekutwa na mkono wa mtoto. ninyi mnaoishi huko dodoma tuambieni, hali ipoje, si mnajua familia nyingi zimehamishiwa huko mkaacha wanaume...
  2. Bila bila

    Nawasihi Watanzania tuache kujiteka

    Wengi tuliamini Jeshi la Polisi linahusika Kuteka na kutesa watu hasa Wenye kukosoa serikali katika Mambo mbalimbali. Lakini Jana IGP CAMILIUS WAMBURA akiwa Bariadi ameta.ka Wazi kabisa Polisi wake hawahusiki. Na ametoa mifano ya Mtoto wa Mbeya aliyetekwa Kwa maelekezo ya mama yake ili apate...
  3. Roving Journalist

    Dar: Anayedaiwa kutekwa naye asakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi Machi mpaka Julai Jeshi la Polisi limepokea taarifa nne kutoka kwa wazazi wa Mbagala na Temeke...
  4. Chakaza

    IGP Kenya Maandamano yamemng'oa Ofisini. Wakwetu matukio ya utekaji yatamng'oa lini?

    Tumesikia wote kuwa mkuu wa Polisi Kenya kaamua kuwajibika kutokana na matendo ya polisi wakati wa maandamano ya GEN.Z na kupisha wengine. Je, wa kwetu yeye anasubiri nini kwa matukio haya yaliyo shamiri ya utekaji na utesaji huku basdhi ya vituo vya polisi vikitajwa kuhusika na matukio hayo...
  5. figganigga

    Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Moja ya mambo yaliyonifanya nichukie awamu ya tano ni suala la utekaji. Hata kama wakosoaji ni wapumbavu basi usitumike upumbavu kukabiliana nao.

    MOJA YA MAMBO YALIYONIFANYA NICHUKIE AWAMU YA TANO NI SUALA LA UTEKAJI. HATA KAMA WAKOSOAJI NI WAPUMBAVU BASI USITUMIKE UPUMBAVU KUKABILIANA NAO. Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Suleiman aliwahi kusema, Mhubiri 7:17 [17]Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwani ufe kabla ya...
  7. Inevitable

    “Utekaji” waitesa Kenya. Wananchi wanatekwa na kupotezwa. Saba watekwa ndani ya siku 7

    https://youtu.be/OZ9qfm46k0U?si=Rlk4qTkzB_dJgkLz Gabriel Oguda, popular social media activists allegedly abducted Several social media users and content creators are missing after they were abducted in overnight operations in the country hours to anti-Finance Bill demonstrations. Officials...
  8. G

    Tetesi: Kesi ya utekaji na mauaji dhidi ya Makonda yanukia

    Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa madhila haya yaliyofanywa na Makonda wako hatua za mwisho kabisa kufungua mashitaka dhidi ya Makonda...
  9. R

    Arusha ijiandae kwa utekaji na matumizi ya nguvu kudhibiti wanaompinga Rais

    Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi. Wabunge waliopo sasa...
  10. Tajiri wa kusini

    Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

    TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU. Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita. Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa anatoka msikiti kuswalisha Taraweh akiwa Ameambatana na mtoto wake wakiume. Akiwa njiani aliitwa na watu...
  11. Kaka yake shetani

    ChatGPT:swala utekaji tanzania kwa nini vyombo ya polisi kutoa majibu ya kawaida na matukio ya utekaji

    Masuala ya utekaji nyara ni jambo serious na lenye athari kubwa kwa usalama wa raia na heshima ya haki za binadamu. Ni muhimu kutambua kwamba suala la utekaji nyara linapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa, na vyombo vya usalama vinapaswa kuchunguza kwa kina na kutoa majibu yanayokidhi haki na...
  12. Stuxnet

    Makonda ashangaa utekaji, Hando amshangaa Makonda kushangaa

    Mwanahabari maarufu Gerald Hando naye anamshangaa Makonda kushangaa utekaji. Ni nini watu hawa wawili wanachoshangaa?
  13. JanguKamaJangu

    Wanawake zaidi ya 35 watekwa nyara Nigeria wakirudi kumsindikiza Bi harusi

    Takriban watu 35 hawajulikani walipo baada watekaji kuwachukua wageni waalikwa waliokuwa wakirudi kutoka harusini huko kaskazini magharibi mwa Nigeria, mafisa wameliambia shirika la habari la AFP. Utekaji huo wa idadi kubwa ya watu katika jimbo la Katsina unasemekana ndio mkubwa katika...
  14. A

    Kuna matukio ya utekaji serikali kimya

    Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
  15. P

    Pre GE2025 Utekaji wamliza Makonda

    "Mbona Polisi mnawaonea sana watu maskini, mtu ametekwa miaka mitatu iliyopita, eneo lake limechukuliwa na mtuhumiwa mnayemjua na kujengwa kiwanda lakini hamchukui hatua yoyote". "Basi kama mnashindwa kumtafuta mtu aliyetekwa, mmeshindwa hata kutenda haki kwa kumrudishia eneo lake ambalo...
  16. mirindimo

    Polisi wanavyoongoza genge la utekaji na kuua

    Naitwa Clement Nkwabi mkazi wa Geita. Napenda kukushirikisha suala la mdogo wangu Joel Raphael Nkwabi. Tarehe 15/12/2023 majira ya saa 2 usiku alienda kuangalia mpira lakini hakurudi. Tar.16 asubuhi mke wake alipigiwa simu na namba mpya. Kupokea ilikua sauti ya mumewe akimjulisha kuwa amelazwa...
  17. BARD AI

    Gambia: Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ashtakiwa kwa Ubakaji, Mauaji na Utekaji

    Ousman Sonko ambaye aliwahi kuhudumu katika Serikali ya Rais Yahya Jammeh, anatuhumiwa kufanya Ubakaji dhidi ya Raia, Kuagiza Watu Wauawe huku wengine Wakitekwa na Kuteswa kati ya mwaka 2000 hadi 2016. Kwa mujibu wa 'TRIAL International', Waziri huyo anakuwa Afisa wa ngazi ya juu zaidi kutoka...
  18. Pascal Ndege

    Tabia za Wapalestina za mauaji, utekaji, ubakaji wa mahujaji zilichochea mpango wa kuundwa taifa la Israel 1948

    Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita. Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili na kukua na kusambaa. Miaka 700 baadae uislam ukashamili na vita ikapigwa sana na sheria ngumu...
  19. kagoshima

    Ukiondoa kupita bila kupingwa unakua umeaondoa ununuzi na utekaji wa wagombea kwenye chaguzi. Ushauri, rekebisha Sheria kwa maslahi ya demokrasia

    Mazee mpo? Naenda kwenye hoja. Kiukweli moja ya uchafuzi mkubwa wa Democrasia ya vyama vingi ni ununuzi na utekaji wa wagombea wakati wa uchaguzi. Tumeamua multiparty democracy,ni vyema tukawa serious kidogo. Haiwezekani Tanzania Kila jambo linafanywa kisanii sanii. Democracy ni kuruhusu raia...
Back
Top Bottom