Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wametakiwa kuwa kichocheo cha utekelezaji wa Dira ya Taifa 2050 kwa kutumia maarifa, ujuzi na ubunifu walioupata chuoni hapo.
Hayo yamebainishwa wakati wa Mkutano wa 26 wa Baraza Kuu la Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe (26th AGM of the Mzumbe University...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.