utekelezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Ripoti Amnesty International: Utekelezaji wa Adhabu ya Kifo umeongezeka kwa 31% Duniani

    Ripoti mpya ya Shirika la Amnesty International imeonesha Uhai wa Watu 1,153 ulikatishwa mwaka 2023 kutokana na kuhukumiwa adhabu ya Kifo ikiwa ni ongezeko la Watu 270 (31%) kutoka Watu 883 waliouawa mwaka 2022 Kwa mujibu wa Ripoti, idadi hiyo ni kubwa zaidi kwa kipindi cha takriban miaka 8...
  2. O

    SoC04 Kuzorota na kutomalizika kwa wakati miundombinu wakati wa utekelezaji wa miradi

    Moja ya kitu Cha kujivunia ni kuzaliwa Katika nchi ya Tanzania, imejaliwa kuwa na vitu vingi vya kuvutia na kupendeza sana vilivyo tapakaa nchi nzima. Mfano wa vitu hivyo ni kama Mlima Kilimanjaro, Mlima meru, Mito mikubwa ikiwemo Malagarasi ,pangani ,Mapolomoko ya Rukwa, Hifadhi za wanyama...
  3. J

    Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika utekelezaji wa miradi

    SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI. Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio...
  4. J

    Mradi wa maji Same - Mwanga 90% ya utekelezaji, aweso awasha pump kusukuma maji kwenda tenki la mwisho

    MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo ya kutibu maji imekamilika...
  5. L

    Dkt. Mwingulu Nchemba awataka Wabunge kujadili sheria wakati wa Utungwaji na Siyo Wakati wa utekelezaji Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato wa Utungwaji wake na siyo wakati wa utekelezaji wake. Ameyasema hayo kutokana na swali lililoulizwa...
  6. S

    SoC04 Mfumo wa wazi wa Kidijitali kufatilia utekelezaji wa miradi ya Serikali

    Mfumo wa kidijitali wa ufuatiliaji wa Miradi ya Serikali Ili kuongeza uwazi. (Government Projects Tracking System). Maendeleo ya Sayansi na teknolojia yamerahisisha utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi wake, huduma mbalimbi kama Elimu, Afya, Nishati ya umeme, Mawasili na usafirishaji n.k...
  7. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa na Mavunde Wakutana Kuweka Mikakati ya Kusimamia Utekelezaji wa Miradi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Malighafi za ujenzi wa miundombinu itakayosaidia Makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati na ubora...
  8. K

    Utekelezaji wa wazo la Rais Samia la kuvuna maji ya mvua uanze ili kudhibiti mafuriko

    Serikali ianze sasa utekelezaji wa wazo la Rais Samia alilotoa mwaka uliopita la kuvuna maji ya mvua Kwa kujenga mabwawa makubwa ili kuwe na hifadhi kubwa ya maji na pengine kusaidia kupunguza athari za mafuriko yanayosababishwa na mvua mahali mbalimbali Tanzania.
  9. M

    Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  10. N

    Mbunge Byabato: Serikali imetoa Sh Bilioni 15 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Bukoba

    Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato...
  11. R

    Nakubaliana na Nape nguzo za Umeme zitumike pia kusafirisha Internet; ila namshauri liwe azimio la baraza la Mawaziri kusaidia utekelezaji

    Nape Nauye amekuja na suluhu ya kusambaza internet kwa kasi kuliko ilivyo sasa. Anasema kwa kuwa kila mwananchi anaumeme kwake basi miundombinu ya TANESCO itumike kufikisha mawasiliano kwenye makazi. Nakubaliana naye kwamba tunakwenda kuondoa gharama za kununua nguzo ambazo ofcoz itapunguza...
  12. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yawakingia Kifua Wakandarasi Wazawa Katika Utekelezaji wa Miradi ya Benki ya Dunia

    SERIKALI YAWAKINGIA KIFUA WAKANDARASI WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BENKI YA DUNIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika mikataba ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ili kutoa fursa kwa Wakandarasi wazawa kushiriki...
  13. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Utekelezaji Baraza Kuu UWT Taifa Wanolewa Kuhusiana na Sera ya Jinsia

    🔰🔰🔰WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT WANOLEWA KUHUSIANA NA SERA YA JINSIA 📍Dodoma Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UWT chini Mwenyekiti Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), wameshiriki semina ya masuala ya Sera ya jinsia. Leo Tarehe 19 Februari, 2024. Semina...
  14. S

    Mahakama Kuchelewa/Kushindwa Kufanya Utekelezaji Wa Hukumu, Natakiwa Nifanye Nini?

    Kwema Wakuu? Nilikua naomba usaidizi wenu wa msaada wa mawazo. Ninamdai mtu kama TZS 18mil hivi na nikamfungulia kesi ya madai kwenye Mahakama moja ya mwanzo hapa Dar es Salaam. Bwana yule alikiri kudaiwa na mimi na akahidi kua atakua analipa kidogo kidogo na pesa atakua anakuja kuzilipia...
  15. P

    Maandamano pekee yanatosha kuonesha utekelezaji wa 4R na Demokrasia kukua nchini?

    Wakuu, Baada ya polisi kutoa tamko la maandamano kufanyika nchini, kila kona ni sifa tu kuwa 4R zimefanyiwa kazi, demokrasia imekuwa nchini, mama ametenda na kadha wa kadha, huku pongezi za akina Mbowe, Sugu zikitumika kama rejea ya kuwa hata wapinzani wenyewe wanakubali kuwa sasa Tanzania...
  16. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge yaridhishwa na utekelezaji wa miradi ya uviko pori la akiba Wami mbiki

    Na. Beatus Maganja Kamati ya kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa kwake na utekelezaji wa miradi ya mpango wa Taifa wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 iliyotekelezwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ndani ya Pori...
  17. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Apeleka Bilioni 1.8 Utekelezaji wa Miundombinu ya Maendeleo Wilaya ya Ngara

    Ngara Januari 10, 2024 TAARIFA YA KUPOKEA TZS 1,816,000,000.00 KWA AJIRI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO - Ngara. Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anawatangazia wananchi wote kuwa, DKT SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma fedha tajwa...
  18. Erythrocyte

    Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

    Jafo alitoa tamko kuwa kuanzia January 2024 mwisho kutumia kuni, mkaa. Kama kuna anayefahamu tarehe ya utekelezaji wa jambo hili atueleze ili tujipange tusije kuingia matatizoni.
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janejelly Ntate Aendesha Semina ya Utekelezaji wa Maono ya Mama Samia kwa Akina Mama wa Mkoa wa Dar

    MHE. JANEJELLY NTATE AENDESHA SEMINA YA UTEKELEZAJI WA MAONO YA MAMA SAMIA KWA WAKINA MAMA WA MKOA WA DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 22 Disemba, 2023 Msimbazi Centre, Ukumbi wa...
  20. JanguKamaJangu

    Waziri Makamba abainisha mafanikio ya Serikali kwa Mwaka 2023 kupitia Utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) ameainisha mafanikio yaliyopatikana kwa Taifa kutokana na utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje yenye msisitizo katika Diplomasia ya Uchumi kuwa ni pamoja na kuimarika kwa ushirikiano baina ya Tanzania na nchi...
Back
Top Bottom