utendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ahmed Ally alamba hundi kwa utendaji uliotukuka Simba Sc

    Mzee wa kipaza cha sumu ya panya,mende hongera sana
  2. Tanzania tuachane mfumo wa kupandishia watu mishahara bila kuwa na vigezo vya utendaji (performance)

    Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao. Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara. Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa...
  3. Tuwanyambue viongozi wetu mbalimbali na utendaji wao uliotukuka kwa taifa letu Tanzania

    Naanza na Mwl. Julius kambarage Nyerere, Rais wa kwanza kwa Tanzania yetu. * Aliupigania Uhuru wetu * Alituunganisha watanzania kuwa kitu kimoja na kuwa na lugha moja (kiswahili). * Alishawishi muungano wetu kati ya bara na visiwani (muungano adhimu na imara) * Alitetea vyema ardhi YETU...
  4. Idara ya uhamiaji kaeni mjitafakari utendaji kazi wenu, wilayani na mikoani

    Niende moja kwa moja kwenye mada naomba mod usiunganishe huu uzi maana hawa uhamiaji Uzi zao zimekuwa nyingi sana, na ni jeshi ambalo kama limejisahau hivi wao wanachoweza ni kutembelea nyumba za wageni, vituo vya usafiri kukuta wageni na kubageini biashara imeisha hawatimizi wajibu wao...
  5. Uwazi katika Utendaji wa Serikali: Nyenzo Muhimu ya Ufuatiliaji wa Rasilimali za Umma na Mapambano dhidi ya Rushwa

    Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo. Uwazi wa serikali kimsingi ni wajibu wa serikali kuwa wazi, kuwajibika, na kuwa ya kuaminika kwa raia wake. Uaminifu huu...
  6. Uamuzi wa NMB ni dalili ya taasisi za kifedha kukosa ufanisi katika utendaji.

    Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
  7. England kuingilia utendaji wa timu ya Chelsea sio kosa kwa kanuni za FIFA?

    Wajuzi tuambieni kwanini shughuli za mchezo wa mpira England umeingiliwa na wanasiasa kutokana na vita ya Russia na Ukraine?
  8. J

    Wahenga tu: Katika awamu 5 za serikali ya JMT zilizopita ipi unaikubali zaidi kwa Utendaji uliotukuka?

    Tujikumbushe. 1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP 2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi 3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP 4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete 5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP Maendeleo hayana vyama!
  9. Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  10. Makalla: Asilimia 99.99 ya Malalamiko yaliyotolewa hawahusu utendaji wa Polisi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema asilimia 99.99 ya malalamiko yaliyowasilishwa kwake katika kipindi cha kusikiliza kero za wananchi jijini Dar es Salaam siku chache zilizopita hayakuwataja Polisi kama watu wanaosababisha kero jijini Dar es Sallam na hivyo kumshukuru Afande IGP...
  11. J

    Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa Wizara

    MGAWANYO WA MAJUKUMU KATIKA UTENDAJI WA WIZARA Watanzania kwa Muda mrefu tulikuwa na hamu kubwa ya kuona Mgawanyo wa madaraka na Majukumu katika utendaji Kazi katika Serikali. Kuna Jambo kubwa sana la kujifunza na kujivunia kwa Rais wetu Mpendwa @SuluhuSamia jinsi anavyoongoza na alivyowapa...
  12. Rais Samia amedhihirisha utendaji wake wa kazi ni awamu ya pili na tatu, combined

    Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la JMT Kazi iendelee! Kwa jinsi awamu ya sita toka imeingia madarakani takribani miezi nane sasa. Rais SSH amedhihirisha utendaji wake wa kazi ni awamu ya pili, na tatu, combined. RUKHSA (awamu ya pili) Rais SSH amekuwa akisisitiza Mara nyingi kuifungua nchi...
  13. Nimefuatilia utendaji kazi wa Rais Samia, PM Majaliwa na VP Mpango, huwezi kuamini awamu ya tano walikuwa wamoja na Hayati Magufuli

    Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao. Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
  14. T

    Tathmini yangu fupi ya utendaji wa Marais wetu; Inaonesha Mkapa alikuwa Rais wa daraja la juu sana

    Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius. Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana...
  15. Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

    HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA. Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua...
  16. Costumer service, accountability and responsibilities vyaanza kudorora ofisi za umma

    Ndugu zangu habari za muda huu, nimatumaini yangu sote tunaitekeleza slogan ya mkuu wa kaya. Twende moja kwa moja kwenye mada kipindi cha awamu Serikali iliyopita tuliona bwana yule alivyojitaidi kurudisha nidhimu kwa watumishi wa Umma kwa kutekeleza majukumu yao kama inavyotakiwa. Watumishi...
  17. NATAFUTA KAZI ZA UTENDAJI

    Wanaforums wenzangu naombeni msaada niweze kupata kazi ya utendaji nimatamanio yangu nipate ajira ya kudumu hata utendaji tu ni miaka mingi natafuta kazi naishia kupata vibarua tu vya muda mfupi. Nina diploma(2013) na degree(2016) ya uhasibu toka TIA. Asante
  18. Yaliyonikuta ofisi ya kata nimeelewa kwanini wananchi wa Msumi walijichukulia Sheria mikononi

    Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki...
  19. Tuboreshe Utendaji wa Serikali za Mitaa ili kuleta Tija

    Kumekuwa na tabia ya kuunda mikoa mipya (na hata wilaya) kwa kigezo cha kusogeza huduma kwa wananchi. Tunafanya hivi kwa sababu hatuzingatii utendaji wa tamisemi. Tamisemi zilianzishwa kwa makusudi ili kusogeza huduma karibu zaidi lakini hazifanyi kazi ipasavyo. Tuboreshe muundo kama ifuatavyo...
  20. B

    Ajira za utendaji wa mtaa/vijiji, ni kweli Tanzania inathamini elimu?

    Nimefuatilia sana posti za ajira za utendaji wa mtaa au vijiji sijawahi kuona wakiunganisha kigezo cha shahada kwenye sifa za kazi hiyo na nyingine 50 zimetangazwa wilaya ya Ilemela wanahitaji astashahada tu Naona kusoma sana sasa hakuna maana Tanzania enzi za mwl Nyerere alithamini sana wasomi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…