utendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Utendaji wa Shughuli za Mahakama Unatungwa na Nani na Kwanini?

    Ni swali ambalo limetokana na yanayoendelea katika sakata la Mbowe. Wabunge wanarushwa mubashara. Tunasikia mawazo yao, malumbano yao, na hata ufyatu wao. Tunasikia wakishangilia na wakizodoa; tunawasikia wakicheka na kuchekana au kuchekeana. Vyombo vya habari vya taifa na vya binafsi vinapewa...
  2. M

    Kwanini Watanzania wengi wanataka IGP Sirro aondolewe? Utendaji wake haufai?

    Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki. Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro. Je, ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki? Huyu mama Suzan Kaganda...
  3. Nyankurungu2020

    Kasi ya utendaji wa Kassim Majaliwa imepungua sana, sio kama wakati wa Hayati Dkt. Magufuli

    Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka. Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo. Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku...
  4. K

    Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

    Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kuhusu utendaji mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma ikiongozwa na ndugu Muhoji aliyezungukwa na wasaidizi vilaza wavivu kutumia akili katika kushughulikia rufaa za watumishi wa umma walioonewa na waajiri enzi zile! Kumekuwa na biasness kubwa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Utendaji wa NACTE ni wa polepole sana, Waziri wa Elimu shughulikia hilo

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE Kwako waziri wa elimu, Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa. Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi. Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine...
  6. Shujaa Mwendazake

    Mapokezi chanjo ya Corona: Ni wakati sasa kutazama utendaji wa Waziri wa Afya

    Nimeliona Bango la mapokezi ya chanjo ya Corona uwanja wa ndege wa J.K Nyerere. Kwanza nilicheka sana baadaye nilipoanza kufikiria juhudi za kupambana na Ugonjwa huu tangu wakati wa mashine za kupigia nyungu na zilivyozinduliwa kwa Mbwewe. Sasa najiuliza hii chanjo imeshaanza kutumika hapa...
  7. B

    Sakata la kutoridhika na utendaji wa serikali

    Kumekucha! Vilio vya kutoridhika na utendaji wa serikali ambavyo vimekuwapo kwa miaka mingi, hatimaye sasa vinasikika kila kona: 1. Zinazoitwa tozo za uzalendo, 2. Kodi zaidi zikiwamo kwenye mafuta ya vyombo vya moto, 3. Ongezea la nauli za mabasi na usafiri kwa ujumla kutokana #2, 4...
  8. M-mbabe

    Sababu za wananchi kukosa matumaini ya mabadiliko kwenye utendaji wa haki chini ya Rais Samia

    I) POSITIVES Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi. 1. Kutotumia...
  9. W

    Kwanini utendaji kazi wa Raisi unapimwa kwa kipimo cha siku 100 na sivinginevyo?

    Habari wanajukwaa. Imekuwa ni kawaida kwa Kiongozi Mkuu wa nchi hasa nchi zinzotumia title ya Raisi, kama hii ya kwetu, kutumia kigezo cha siku 100 za kwanza za Raisi kuwa Ikulu kufanyiwa tathimi ya utendaji kazi wake. Wachambuzi wa mambo ya siasa, wasomi, wanazuoni na Wananchi wa kawaida...
  10. MenukaJr

    Mapungufu ya Taarifa ya Utendaji wa siku 78 za Rais Samia Ikulu

    Maoni yangu: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya utendaji wa Serikali kwa siku 78 za Rais Samia Suluhu ofisini-Ikulu. Pamoja na mambo mengi mazuri, taarifa hiyo ina mapungufu kadhaa kwa maoni yangu, kama ifuatavyo: 1. Mkataba wa Gesi Da'slam-Mombasa Taarifa ya Msemaji...
Back
Top Bottom