utengenezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania. Pia, Soma Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
  2. S

    Mabanda ya kuku yanayotembea (mobile chicken Coop)

    Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona wenzetu wazungu wameadvance sana. Especially wanaokaa kwenye maeneo makubwa, wanawekeza katika kujenga mabanda ya kuku yanayotembea (mobile chicken coop). Wengine wanayawekea magurudumu. Banda laweza kuwa round kama ilivyo greenhouse farming, au laweza...
  3. X

    Nissan na Honda kuungana kufuatia ushindani mkubwa kutoka China katika utengenezaji wa magari

    Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia kushindana dhidi ya watengenezaji wa magari ya umeme (EV), hasa nchini China. Huu utakuwa...
  4. Prof_rutta22

    Utengenezaji, uwekaji na usimamizi wa mifumo ya TEHAMA katika Biashara, Afya, Elimu n.k

    📢 TANGAZO LA KIBIASHARA 📢 Dar ITcare - Wataalam wa TEHAMA kwa Mahitaji Yako! Je, unahitaji suluhisho bora la kiteknolojia kwa biashara au taasisi yako? Dar ITcare tunatoa huduma za kitaalamu na mifumo inayokidhi mahitaji yako, ikiwemo: Huduma Zetu: Mifumo ya Biashara: 🏪 Maduka (POS) 💊 Famasi...
  5. X

    Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

    Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani...
  6. I

    Shambulio la IDF limelemaza uzalishaji wa makombora wa Iran na kuzima ulinzi wa anga; utawala wa Iran washtuka

    Mashambulizi makubwa ya anga ya Israel nchini Iran siku ya Jumamosi yalilemaza uwezo wa Iran wa kuzalisha makombora ya masafa marefu katika pigo ambalo litakuwa gumu na linalochukuwa muda kurejesha, na kutoa vifaa muhimu vya nishati katika hatari ya mashambulizi ya siku za usoni kwa kuharibu...
  7. H

    Ushauri: Noti za tsh 1000 na 2000 zibadlishwe material ya utengenezaji huwa zinachoka sana katika mzunguko

    Salama humu. Sijui ni lini hizi noti zilianza kutengenezwa na kuanza kutumika, naona ni muda mrefu sana umepita. Na ni muda sasa muafaka wa kupata noti mpya hasa hizi za tsh 1000 na 2000. Unajua hela ya noti kwa nchi ni kama nembo ya Taifa. Zinawakilisha nchi na wageni mbalimbali wanazitumia...
  8. K

    Tarehe 30/06/2024ni Killed Cha Maadhimisho ya Kupinga utengenezaji, utumiaji na usambaji wa madawa ya kulevya.

    Tukio ilo kitaifa litafanyika mkoa wa MWANZA Mh Waziri Mkuu atakua mgen rasmi wa jambo hilo kwenye uwanja wa Nyamagana.Brudan zitaanza saa 12:00 Karibuni sana.
  9. jikuTech

    Elimu ya utengenezaji wa application za simu za android part 2

    Android ni mfumo endedhi unaotumiwa sana kwenye vifaa vya kielectronic kama vile simu za mkononi na vifaa vingine vya kielectronic . Utengenezaji wa application za simu za android ni mchakato wa kuunda na kuboresha programu za simu za android. Application za simu za android zinaweza kuundwa na...
  10. S

    SoC04 Serikali ichukue hatua madhubuti kudhibiti utengenezaji na usambazaji wa pesa bandia

    Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii I) KUELIMISHA UMMA Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
  11. Mto Songwe

    U.S- CHINA Tech War: China ipo miaka kumi(10) nyuma katika utengenezaji wa Chip " C.E.O wa Intel

    C.E.O wa kampuni ya kiteknolojia ya kimarekani Intel inayo husika na utengenezaji wa semiconductor anasema nchi ya China bado ipo miaka kumi nyuma katika teknolojia ya utengenezaji wa Chip na itabaki kuwa hivyo. Skip to main content Open menu Intel CEO Gelsinger says China is ten years...
  12. M

    China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

    Kwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani. Utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria imekuwa biashara kubwa yenye ushindani hasa mabasi ya umeme. Mabasi yamekuwa yakitengenezwa kwa kazi na makusudi tofauti tofauti. Kinachoangaliwa...
  13. IamBrianLeeSnr

    Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

    Habari wanajamii... Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana. Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE. Malipo ya kazi nalipa...
  14. TPP

    Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

    The Chinese government has told operators of important infrastructure in the country to stop buying products from the US chipmaker Micron Technology. Its products carry “serious network security risks” that pose hazards to China’s information infrastructure and affect national security, the...
  15. M

    Utengenezaji wa silaha za kivita duniani

    WanaJF, Natumai wote tupo poa. Baada ya kutoka kanisani leo nimekuwa natafakari madhara ya vita vinavyoendelea sehemu mbalimbali duniani kama Ukraine, Sudan etc. Naendelea kujifikirisha hapa kwa nini viongozi wetu wakubwa wa dunia kama Umoja wa Mataifa wasipige marufuku utengenezaji wa hizi...
  16. mamba1

    Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

    Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo. Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
  17. Njegele

    Utengenezaji wa sabuni za mche

    Naomba mnisaidie nawezaje kupata faida kwenye utengenezaji wa sabuni ya mche,nizingatie vitu gani?
  18. Jade_

    Utengenezaji "White Sauce"

    Habari zenu, natumai mpo salama. Mara ya mwisho nilipika pilau na leo napika white sauce inayosindikiza pilau au chakula kingine chochote kinachohitaji mchuzi. Kama kawaida ukitaka kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza “kuilike” hiyo video, “kusubscribe”...
  19. BARD AI

    Samsung yasitisha utengenezaji wa A7x Series zikiwemo A73, A74, A75 na kuendelea

    Kwa kawaida, toleo la simu za Galaxy A ambazo zinauza sana ni A5x. Lakini ripoti mpya zinaonyesha Galaxy A series zitaacha kuwa na toleo la A7x hivyo Galaxy A73 ndio simu ya mwisho kuwa na A7x. Galaxy A74 ambayo ilitegemewa kutoka mwakani haitakwepo hivyo toleo la A Series litabaki na A54...
  20. Suley2019

    Ujanja ujanja na utengenezaji wa mazingira ya kibiashara Ofisi za Serikali

    Salaam ndugu zangu, Natumai wote mu wazima. Leo najaribu kugusia na kudokeza baadhi ya tabia za ujanja ujanja zinazofanyika nje ya Ofisi nyingi za umma. Walinzi au watu wa mapokezi wa sehemu hizi wamekuwa chambo Cha kufanya biashara ndogo ndogo wakitumia chambo Cha wananchi kusaka huduma...
Back
Top Bottom