Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
JIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI
Katika harakati zetu za utafutaji wa pesa leo ninaomba tuzungumzie kuhusu utengenezaji wa sabuni.Sabuni hizi unaweza kuzitumia katika kufulia,kuogea,kuoshea vyombo na kusafishia chooni.Sabuni hizi unaweza kutumia kwa matumizi yako ya nyumbani au kuuza maeneo...
Wasanii wanatengeneza mapambo kwa kutumia siagi za rangi (butter sculptures) katika mji mkongwe, Lhasa. Huu ni usanii wa jadi wa utengenezaji wa sanamu mkoani Tibet kwa kutumia siagi.
Yaani ni hivyo tu jamani, hakuna kitu kinakera (hata kama huziangalii) kama hizi filamu za bongo. Nahisi kabisa kuwa wanatuaibisha hata nje ya nchi (kwa mataifa jirani wanao angalia kazi zao)
Filamu stori haieleweki wanaigiza ili mradi tu, Unaweza kusema labda bajeti ya uandaaji ni kubwa...
Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa.
Pia niulize...
Je, vitu hivyo ni siri? ni kwanini viwe siri wakati haya ni mapambano ya Dunia nzima na tunasema kuwa tunashirikiana kupambana na janga hili!?
Je, wataalamu wetu wa Afya Tanzania wanavifahamu vitu hivyo? kama ndiyo kwanini wasimwambie MAMA ili tuvipate tuweze kutengeneza chanjo yetu wenyewe...
Kampuni ya LG Electronics leo imesema itafunga Biashara yake ya utengenezaji wa simu janja ambayo kwa takriban miaka sita imepata hasara inayofikia Dola za Marekani Bilioni 4.5
Kampuni hiyo ya Korea Kusini ambayo mwaka 2013 ilitajwa kuwa Kampuni kubwa ya tatu kwa utengenezaji wa simu janja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.