uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    UTEUZI: Ally Kamwe ateuliwa Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania kuwa Balozi wa kutangaza kuelimisha kuhusu fursa za zabuni kidigitali

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania imemteua Afisa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuwa balozi atakayehusika kutangaza na kuelimisha jamii juu ya fursa za zabuni kidigital na kurahisisha michakato ya ununuzi pamoja na kuondoa Janja janja katika ununuzi wa UMMA. PPRA
  2. Katiba inatakiwa ifanyiwe marekebisho ya kumpokonya/kumnyima nguvu ya uteuzi baadhi ya nafasi

    Naona ipo haja ya baadhi ya nyadhifa kutofunganishwa na siasa, binafsi ningependa rais, waziri na wabunge tu ndiyo wangefaa kuchaguliwa na watumishi waliobakia watokane na michakato ya uchaguzi wa sifa. naibu waziri,waziri,madc na marc hii nguvu ingepokonywa pamoja na uteuzi wa wakurugenzi na...
  3. B

    Huu uteuzi wa mara kwa mara wanafunzi watajibu nini shuleni?

    Habari wana JF? Kipindi Cha nyuma tulikuwa tunawajua viongozi na vitengo vyao vya kazi. Walikuwa wanahudumu kwa mda mrefu bila kutenguliwa au labda ajiuzulu. Kwa Sasa tunawajua majina lakini hatujui idara zao Kwasababu ya kuhamishwa mara kwa mara . Anateuliwa Usiku na anatenguliwa asubuhi...
  4. Pre GE2025 Makonda ataibuka aanze kuwananga watesi wake hawamuwezi, Sabaya atalamba teuzi. Tutahamia kwenye ubuyu mwingine, wameshajua ndio tulivyo!

    Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo.... Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata. Pia soma: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya...
  5. K

    Kwa uteuzi wa Prof. Kabudi katiba na sheria tukubaliane tu Mwambukusi atanyoosha mikono kama ilivyokuwa kwa Lissu na kudhibitiwa

    Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA. Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda...
  6. Tutamkumbuka kwa lipi Ummy Mwalimu?

    Uteuzi uliofanywa na Mhe. Rais SSH tatehe 14 Agosti 2024 umemtema nje bi Ummy Mwalimu kutoka Wizara ya Afya. Kutokana na unyeti wa Wizara ya Afya, umuhimu wake ni mkubwa kwenye jamii. Pamoja na kusimamia sera ya Afya nchini lakini ndiyo wizara inayosimamia taaluma ya wahudumu wa Afya. Je tuna...
  7. Rais Samia amedhamiria, Reforms ya kibabe kwenye Afya

    SOMA; Rais Samia fanya Maamuzi NHIF imeshindwa kufikia lengo. Pia Soma: Rais Samia, bado nalia na NHIF dhidi ya Agenda iliyopenyezwa Moja kati ya Teuzi bora kabisa kwa Watanzania ni kufanya reforms ya mageuzi ya NHIF na kumuondoa Ummy Wizara ya Afya pamoia na CEO wa NHIF, hii chain dah...
  8. Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

    Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
  9. Tutarajie Mkeka wa Baraza, Wakurugenzi, Ma DC Lengo Kuzima Mjadala CHADEMA

    Wanajamvi, Moja kwa moja kwenye maudhui. Kamatakamata ya Viongozi wakuu na makada wa CHADEMA, imemletea mfadhaiko mkubwa mkuu wa nchi, kutokana na Matokeo yake watu walivyopokea Tanzania hasa Vyombo vya Habari, Mitandao ya Kijamii na Jumuiya ya Kimataifa. Kwa sasa habari ya CHADEMA ndiyo...
  10. E

    Baada ya Bernard konga kamaliza muda wake kama mkurugemzi mkuu NHIF tunashauri na tutegemee nini tunapoelekea kupata DG mpya?

    Aliyekuwa mkurugemzi mkuu NHIF , Bernard konga kamaliza muda wake na nafasi yake amekaimu Grace Temba . Nini tutegemee katika huu mfuko wa Taifa ambao Changamoto haizawahi kuisha Na tushauri nini kwa Uongozi mpya au tunaokwenda kupata ?
  11. U

    UTEUZI Jenerali Aziz ateuliwa kuwa Waziri wa ulinzi Iran, rubani wa ndege za kijeshi F-14 Tomcat, aliongoza kikosi cha anga miaka 4

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo. Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne...
  12. Kuna manufaa makubwa, tukiiga mfumo wa uteuzi wa mawaziri unaofanyika nchini Kenya

    Huko nchini Kenya, uteuzi wa mawaziri unachukua mchakato mrefu, Hadi Waziri huyo aapishwe. Hatua anazopitia Waziri huyo baada ya kupendekezwa na Rais kuwa Waziri ni jina lake kupelekwa Bungeni, Ili apitie katika "chekecho" ikiwa nafasi hiyo anastahili na iwapo wabunge hao wataridhika kutokana...
  13. Uteuzi wa wajumbe wa bodi ya shirika la uzalishaji mali la Jeshi la Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (MB) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 6(2)(a-g) cha Amri ya Uanzishwaji wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi ya Mwaka 2013, iliyofanyiwa Marekebisho Mwaka 2023, amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi ya...
  14. Uteuzi Julai 31, 2024: Rais Samia aunda Tume ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini. Kwa...
  15. Matunda ya CEO mpya TISS

    CEO mpya TISS hajapitisha hata week mbili tunaona haya tuliyaona. Safi sana anaijua kazi yake na anaonekana ana uchungu na Taifa hili. Rai yangu haya mambo yasiishie juu kwa juu wapigaji wote wa pesa za umma wawajibishwe. Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa...
  16. Pre GE2025 Mpaka sasa mdomo wa Nape umeshafukuzisha kazi vigogo saba serikalini, wengine wanafuata

    Chunga sana ulimi wako. Mdomo huumba Maneno yakishatamkwa hayarudi tena mdomoni. Ulimi hauna mfupa Mdomo uliponza kichwa. Mdomo kiwanda cha maneno Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  17. Uteuzi wa tarehe 21 Julai 2024 waleta utata kuhusu kuvunjwa tena kwa katiba.

    Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk 21.07.2024 alijiuzulu ubunge wa kuteuliwa na Rais, akiwa Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Jumapili, 21.07.2024 usiku, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akateuliuwa kuwa Waziri katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
  18. Pre GE2025 Ajira na majanga yake kwenye siasa, mwenye sikio na asikie

    Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa, sina hata muda wa salamu maana tutachoshana tu. Nilikua nikisikia maafisa wa serikali wanashauri vijana tujiajiri, nilidhani ni wanafiki, kumbe wanapitia magumu sana na hawatamani wengine yatukute, ila sasa walishakua walemavu wa fikra hawana kimbilio...
  19. Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

    Wakuu, Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira? Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Kweli madaraka matamu...
  20. Uteuzi mpya wa Baraza la Mawaziri uliofanywa na Rais William Ruto

    President William Ruto nominates first batch of CSs- comprising of 11 names, to be vetted by the National Assembly for confirmation Ameteua Mawaziri 11 wapya pekee na Mwanasheria Mkuu mpya. Mwanasheria Mkuu - Rebecca Miano ( kabla ya kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri alikuwa waziri wa Biashara)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…