Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja.
Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork.
Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na...
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, ndugu Aron Titus Kagurumjuli
Mkurugenzi mpya atateuliwa baadaye.
Maendeleo hayana vyama!
Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi haijatoa matokea ya watainiwa waliofanya mitihani mwezi Agosti na pia Novemba 2020 kwa sababu haina bodi ya wakurungenzi.
Suala la taasisi hii kukosa bodi ya wakurugenzi lilitolewa mbele ya waziri mkuu na waziri husika kwenye kongamano la wataalamu wa...
UCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati hizo kuanza, jijini hapa.
Huu ni mchuano mwingine bungeni kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wa upinzani ambao wanatarajiwa kupambana kuwania kuongoza kamati za Hesabu za...
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana.
Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini...
Tunaanza utekelezaji wa ilani ya chama Cha mapinduzi katika maeneo mengi hii ikiwa ni baada yakuitimishwa kwa uchaguzi mkuu nchini.
Mwaka 2015 hadi 2020 viongozi waandamizi wa chama tawala walielekeza nguvu zao kubomoa upinzani kwa kauli mbiu ya kuunga mkono. Kupitia mradi huu, wapinzani wengi...
Barua zote za uteuzi za Rais wa Zanzibar zina kifungu Cha sheria au katiba kinachompa Rais mamlaka ya uteuzi.
Barua za Muungano zinakosa hiki kipengele muhimu sijui kwanini, naamini ipo haja ya kuiga wenzetu wanavyooandika.
Japo font, mpangilio wa haya barua za Msigwa zinavutia zaidi.
Mwisho...
Rais John Pombe Magufuli pamoja na kuwa ni aggressive, lakini sijawahi kumwona akishika kiboko kucharaza viboko watu hadharani...!!
Rais John Pombe Magufuli pamoja na kwamba hapendi wahalifu na matumizi mabaya ya rasrimali za nchi ikiwemo fedha, lakini hajawahi kuamuru wahujumu uchumi...
Hii ndio awamu ya sasa nchini Tanzania ambapo kila kiongozi anayo mamlaka ya Uteuzi kwenye eneo lake, kama ambavyo Mh Diwani amefanya.
Bado haijafahamika kama wateule hawa wataapishwa lini ili waanze kulitumikia rasmi Taifa.
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI -...
WanaJF, Salaam!
Nawafahamisha kwamba leo tarehe 02 Desemba 2020 majira ya saa 17:50's nikiwa eneo fulani mkoani Kagera kuna simu fulani imenipigia - it seems wanafahamu details zangu za kikazi, kijamii, na kisiasa.
Mmoja kati ya wawili niolioongea nao amejitambulisha kwa jina la Kombo na...
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.
Taarifa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Novemba, 2020 amefanya uteuzi wa Wabunge 2 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw. Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Bw...
Nimemsikiliza John John Mnyika akitoa tamko kuhusu jambo hili leo...
Kwa ufupi linafikirisha sana. Mtu anaweza kujiuliza kama ndivyo hivi yalivyo mambo haya, nini hasa maana yake...?
Kuna assumption mbili hapa;
MOSI; Kuna shida ndani ya CHADEMA. Ni mchakato halali kabisa umefanyika ndani ya...
Ni dhahiri Baraza la Mawaziri limeanza kuundwa
Wengine wanangojea PM ashauriane na Rais apate Baraza lililokamilika
Tayari kuna chawa na kunguni zipo kwenye nguo zinakula damu na kueneza bakteria hatimae kueneza ugonjwa wa fitini ni kufitini. Niguse Ninuke.
Si unajua tena mwaka huu ni CCM...
Nimeshangazwa sana na hatua ya Rais Magufuli kuteua mawaziri wawili pekee na kudai kuwa uteuzi wa wizara nyingine utafuata baadaye.
Tulishuhudia katika kipindi chake cha awamu ya kwanza, akimaliza karibu miezi miwili bila kuteua waziri yeyote!
Sasa nimekuwa nikijiuliza, kulikoni safari hii...
Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi amemteua Dkt Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kabla ya Uteuzi Dkt. Mwinyi Talib alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Uteuzi huo unaanza Novemba 3
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.