MH. RAIS ,
Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) .
Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa wachumia tumbo wote ( praise team ) ambao walikuwa tayari kujidhalilisha au kufanya maamuzi yeyote...
UTEUZI BAKWATA
Masheikh wa mikoa, Makadhi, Makatibu wa makadhi na makatibu mabaraza ya masheikh wa mikoa wateuliwa
Akiongea na waandishi wa habari leo, Msemaji wa samaha Mufti sheikh Khamisi Mataka amesema Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake...
Hii ni kwa sababu Mamlaka ya Uteuzi haikuamini tena na ndio maana nafasi yako akapewa mtu mwingine , Kilichotokea ni kwamba huyo aliyepewa nafasi yako ameonekana kituko , duni na hatoshi na ndio maana ametenguliwa ukarudishwa tena , hii haimaanishi wewe unafaa , jiongeze mwenyewe ndugu.
Wewe...
Habari zenu Wana wa JF siasa.
Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii.
Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk...
Nawashauri uongozi wa CHADEMA kuwa sasa ni muda muafaka kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa wale Wabunge 19 walioingia Bungeni bila kufuata sheria, kanuni na taratibu.
Ninaamini Sheria itachukua mkondo wake.
Great thinker tusaidiane kuchambua uteuzi uliofanyika Jana na Mh.Rais ili kutambua ingizo jipya ni akina na CV zao kwamba walikuwa wapi kabla ya uteuzi, na waliotenguliwa ni akina nano
Nimeomba great thinker nikiamini huku ndio kunakopatikana habari za usahihi kiliko social media zozote,
Zaidi soma:
1) Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka
2) Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
MADA HII IMEJIKITA KATIKA TEUZI ZA MAKATIBU WAKUU ULIOFANYIKA TAREHE 4/4/2021
Mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye anaishi katika nchi inayoongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninayo haki ya kutoa maoni juu ya mustakbali wa nchi hii.
Katiba yetu inatambua...
Heshima sana wanajamvi,
Msemaji/Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Mheshimiwa Gerson Msigwa hatimae kaondoka Ikulu.
Mheshimiwa Msigwa kapelekwa Idara ya Maelezo kama Mkurugenzi na Msemaji Mkuu wa Serekali. Sijui kama ndio kupanda cheo huko au kushuka,muhimu kaondoka Ikulu.
Mwanajamvi mwenzetu...
Kwa kweli ndani ya awamu ya tano Tanzania ilivuruga sana kwenye mahusiano ya kimataifa na baina yake na majirani, nakumbuka hadi Ma-DC wa wilaya za mipakani walikuwa na jeuri ya kuita vikao vya wanahabari na kuzomea na kuibuka na kauli za kwamba wamezuia wakenya kuingia Tanzania, jameni...
Hii sio kawaida kabisa katibu mkuu kiongozi kuhudumu kwa muda wa mwezi mmoja tu.
Japokuwa aliyemteua aliaga dunia kwa mapenzi ya Mungu hii sio kawaida, ni sawa na mtu alikuwa anaviziwa itokee bahati mbaya ili avurumishwe nje.
Katibu mkuu kiongozi ni nafasi nyeti na kubwa sana hapa nchini. Mtu...
Ulipokuwa waziri wa fedha na mipango ulisimamia vizuri hasa ukusanyaji wa mapato. Hii ilisadia kuwepo kwa ukelezaji wa miradi mingi.
Awali ulikuwa mbunge wa kuteuliwa na ukapata uwaziri. Lakini mwaka jana uliamua kwenda kugombea huko kwenu Kigoma na ukachaguliwa kuwa mbunge wa Buhigwe...
Kwa kumteua Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni ishara muhimu ya kuonesha kuwa Madam President Samia Suluhu Hassani, atakuwa Rais wa namna gani.
Kumbukumbu zinaonesha kuwa Dkt. Philip I. Mpango ni mtu safi na mwadilifu.
Hana makando kando...
Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia
Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa
Kama yupo kwa ajili ya hapa kazi tu ama la!
Kama yupo kwa ajili ya vita ya rushwa, ubadhilifu, uzembe, uvivu ama la...
Rais Kagame amefanya mabadiliko hayo kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na Katiba ya nchi hiyo.
Wapo waliotumbuliwa na wapo waliohamishwa.
Orodha kamili imeambatanishwa kwa ufafanuzi zaidi
M. M. Mwanakijiji.
Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM.
By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms stand for ‘Mimi Mzee’.
Imagine you wake up on Monday morning and you hear news come over the wire...
Pamekuwa na kambi mbili katika uteuzi huu na msaada wa wadau wa katiba na sheria unaweza kutupa mwanga.
Najua kuna jukwaa la mambo ya sheria lakini uteuzi huu una athari za kisiasa ambazo inawezekana kwa sasa hazipo wazi.
Tusaidieni tujue ukweli ni upi?
Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ?
Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.