Wakuu habari ya muda, nimeona uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCAA) Bi. Mtumwa Khatibu Ameir kutoka zanzibar.
Bi Mtumwa alikuwa ni Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar.
Bodi ya Mamlaka ya Anga Tanzania (TCCA) ni bodi ambayo ni huru kwa shughuli zake.
Mamlaka ya...
Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe na familia yako. Matatizo ya utawala yanakuja mtu anapochukulia kila kitu family affairs lazima utashindwa.
Nchi nyingi za Kiafrika ukichaguliwa kazi yoyote au hata Rais uliyechaguliwa ni wewe sio wewe...
ccm
chato
debe
halmashauri
katibu mkuu
katibu mkuu uvccm
manispaa
mitandaoni
mkuu
rais samia
samia
tanzania
teuzi
uteuzi
uvccm
wakurugenzi
wakurugenzi wa halmashauri
wapiga debe
wilaya
Kwa mujibu wa sheria ya wakala wa serikali (Excutive Agencies Act No 30) ya mwaka 1997 na marekebisho yake ya mwaka 2009 inamtaka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kumteua mtendaji mkuu wa Tanroads .
Nimeambatanisha hapa chini sasa sijui Mh Rais Samia Suluhu Hassan imekuwaje mpaka kumteua mtendaji...
Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS)
Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anachukua nafasi Mhandisi Patrick Mfugale aliyefariki dunia Juni 29, 2021
Dude is very smart bookwise ila wizara ya fedha sio mahali pake. Wizara ya fedha inahitaji a practising economist. Mwigulu uchumi aliuweka kando zamani siku hizi amekuwa mwanasiasa. Hapa ilitakiwa aina ya watu kama hayati Dr. Mgimwa au Makamu wa Raisi Dr. Mpango. Serikali inawajua watu wengi...
Kama uteuzi ni kutafuta kipato na umaarufu basi Pasco Mayalla hauhitaji huo uteuzi maana vyote hivyo anavipata kwenye maonesho ya sabasaba.
Ukweli jamaa anaupiga mwingi sana kwenye maonesho ya sabasaba. Kila banda unamkuta mwandishi Pasco Mayalla anawaweka wafanyabiashara na wajasiriamali...
Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama.
Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
Watu wote nchini wako wilayani na wanaishi wilayani. Wilaya ndio uti wa mgongo wa taifa na uti wa mgongo wa maisha yote ya watu. Ukikosea kwenye wilaya utakosea kwenye taifa pia. Hivyo kiongozi mkuu wa wilaya lazima awe mwenye elimu, ujuzi na uzoefu wa kuongoza watu badala ya kuchagua kwa...
Jumla ya wakuu wa wilaya walioteuliwa na RAIS Samia ni 139:
11 ni Ph.D sawa na 8%
26 ni Masters sawa 19%
95 ni Bachelor Degrees sawa na 68%
3 ni Diploma sawa na 2%
4 ni ACSEE na CSEE sawa na 3%
95 Wanaume sawa na 68%
44 Wanawake sawa na 32%
Vijana wapo 28 sawa na 20%
Waliowahi kuwa...
Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya.
===
Mnazikumbuka sababu ya NASSARI kuvuliwa ubunge? Nchi zenye vetting system, kwa sababu zile za Nassari kutelekeza shughuli za Bunge na akaenda kula maisha Beverly Hills, USA, akashindwa kuheshimu kanuni...
Kuna watu wanalalamika kuhusu Uteuzi wa Ma DC. Hebu tuongea Kidogo hapa.....
Na Thadei Ole Mushi
1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema wiki Chache hapa...
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama.
Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza...
Ninashauri ni wakati wa serikali kufikiria namna nzuri kufanya teuzi mbalimbali katika nafasi za serikali kwa kuzingatia uzoefu wa Kazi serikalini, uadilifu ili kutengeneza uzalendo.
Kwa mfano haileti taswira nzuri kumuacha katibu wa tarafa au maafisa wameoshika nyadhifa mbalimbali ktk Idara...
Uteuzi wa Dr Mashinji Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA kuwa DC ni kama kushushwa thamani.
Ikumbukwe Dr Slaa alizawadiwa Ubalozi baada ya kuasi chama.Hii iliinyesha namna Serekali ilivyomchukulia Dr Slaa na pia uzito wa nafasi aliyokuwa nayo.
Dr Mashinji kuzawadiwa ukuu wa Wilaya sawa na akina...
Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.
Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.
========
"Vijana tunaomba mjitambue kuwa niyi vijana ndio wenye maoni ya taifa hili kwa sasa na karibu...
Tanzania Majaji wanapatikanaje? Au Rais anaweza akamteua mtu yeyote kuwa Jaji? Sioni kama kuna mchakato wowote unaoihusisha mahakama kuwapata majaji.
Naona kama serikali ndio walioshika nyenzo zote za majaji na ndio maana kadri siku zinavyokwenda idadi ya majaji wasiotokana na mfumo wa mahakama...
Watanzania tulishaaminishwa kuwa mamlaka ya uteuzi ni mamlaka kubwa ambayo ina vyanzo mbalimbali vya kupata habari.
Pia tulishaambiwa kuwa mamlaka ya uteuzi huwa inafanya vetting ili kupata wateule wanokidhi vigezo kwa namna yoyote ile.
Sasa haya ya kuteua makada wa CCM ambao hata vigezo...
Dkt. Batilda Buriani alikuwa Balozi Kenya na Japan, Leo kateuliwa kuwa Katibu Tawala mkoa!! Ni kudhalilishwa mno, ni mawazo yangu.
Angepewa hata ukuu wa Mkoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.