uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Capt. Khatib Khamis Mwadin kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Mudrik Fadhil Abass ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Maji katika Wizara ya Maji,Nishati na Madini Pia, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Shaaban...
  2. F

    January Makamba hili la Uteuzi wa Bodi ya TANESCO limekufunua mapema sana!!!

    Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default! Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu huu uteuzi wa January Makamba ktk Bodi ya TANESCO. Kwanza Watanzania tukumbuke kuwa Wizara ya...
  3. M

    Waziri Makamba, Uteuzi wako wa Mama Maajar kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO una mgongano wa maslahi

    Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO. Halafu unatoka hapo unamteua huyo mtu kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO, huoni kuna mgongano wa Maslahi hapo...
  4. Mukulu wa Bakulu

    Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
  5. Hivi punde

    Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, akichukua nafasi ya Dkt. Tito Mwinuka Kabla ya uteuzi huo, Chande alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Afrika Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi Vilevile, Rais Samia amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti...
  6. beth

    Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa Viongozi wawili

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) akichukua nafasi ya Nyakimura Muhoji ambaye amestaafu...
  7. beth

    Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali leo Septemba 17, 2021. Silima Juma Khamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi Wengine walioteuliwa ni Lt. Col. Haji Sheha Khamis anayekuwa Mratibu wa Idara Maalum za SMZ na Makame Mussa Mwadini anakuwa Naibu...
  8. Father of All

    Uteuzi wa Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT ni mpango au njama za CCM?

    JUMANNE, AGOSTI 24, 2021 MAKALA Rais Samia tuteulie Waziri wa Ulinzi mwanamama Na Nkwazi Mhango KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa, wizara hiyo imebaki na pengo ambalo lazima lizibwe. Kwanza naomba nitumie fursa hii kutoa salamu za...
  9. B

    Viongozi waandamizi wa Polisi, Uhamiaji, Magereza wanavyoweweseka nadhani wamenusa Kuna uteuzi unakuja

    Malisa amewahi Kuandika uwepo wa ombwe la uongozi Polisi, alisema wazi kwamba kwa miaka mitano viongozi wa Polisi awajapandishwa vyeo hasa wale ambao mamlaka ya upandishaji vyeo ni Rais. Alipotoa makala hiyo Ni Kama aliwasogeza Polisi waandamizi kwenye vyombo vya habari maana tunaona clip za RPC...
  10. Linguistic

    Rais Samia amemteua Dk Abdul Rahman Shabani Mwanga kuwa Kamishina wa Madini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia, amemteua Dkt. Abdul Rahman Mwanga kuwa Kamishna wa Madini. Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Mwanga alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Madini na Mazingira, Tume ya Madini, Dodoma. Dk Mwanga Anachukua nafasi ya Mhandisi David Mulabwa.
  11. Suley2019

    Uteuzi: Rais Mwinyi afanya uteuzi katika ngazi mbalimbali za Serikali

  12. P

    Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

    Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa. Prof...
  13. B

    Rais Samia afanya uteuzi wa Mbunge wa Bunge

    Ni yule aliyekuwa Katibu Mkuu wa SADC.
  14. B

    Sheria inataka Waziri wa Ulinzi ateuliwe baada ya muda gani, au hata asipokuwepo sawa tu?

    Je, Kuna sheria inayomtaka Rais kuteua Waziri wa Ulinzi baada ya muda fulani pale anapotenguliwa, kuacha uwaziri au kufariki? Kama hakuna sheria je Kuna ulazima wa kuwa na Waziri wa Ulinzi? Na je Nini kilimsukuma JPM kuteua Waziri wa sheria Mara tu Mzee Maiga alipofariki?
  15. beth

    UTEUZI: Latifa Mohamed Khamisi ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Latifa Mohamed Khamisi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Anachukua nafasi ya Edwin Rutegaruka aliyeteuliwa kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo alikuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE
  16. Suley2019

    Zanzibar: Rais Mwinyi afanya Uteuzi wa Wakurugenzi na mthamini Mkuu wa Serikali Wizara ya Ardhi (26/08/2021)

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Mthamini wa Serikali katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi. 1. Ndugu Muchi Juma Ameir ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji 2. Ndugu Juma Ameir Mgeni ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara...
  17. H

    Waziri wa afya Dkt. Gwajima hana legitimacy ya kubaki kwenye hiyo Wizara

    Nafasi ya uwaziri, tena wa Afya ni eneo sensitive sana, tena kwa kipindi kama hiki ni more sensitive. Kwa kipindi hiki cha mgawanyiko mkubwa wa mitazamo kuhusu chanjo kwenye taifa letu,sio hekima kama waziri,msomi na mtaalamu kuzungumzia mambo binafsi ya mtu mwingine. Hivi work ethics za...
  18. Nyendo

    Rais Samia Suluhu afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

    Rais Samia amefanya uteuzi wa viongizi mbalimbali. Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
  19. Chagu wa Malunde

    Sabaya ametufumbua macho: Wateule wa Rais huvunja sheria na haki za binadamu na hawachukuliwi hatua mpaka mamlaka ya uteuzi iamue

    Taifa letu linatia aibu sana, maana ni kama hatuko ulimwengu wa karne ya ishirini na moja, ambayo inataka kuwe na usawa kwa binadamu wote. Maana hakuna ambaye ni special zaidi ya mwingine. Kuna watu wanaua raia wenzao, wanatesa raia wenzao wakiwa mahabusu na kuwapiga mpaka wanakuwa vilema...
Back
Top Bottom