Kuna malalamiko yamekuwa yakisambaa kitambo sasa, binafsi kuna siku nilitoka mahakamani nikawa kwenye lunch na mawakili kadhaa, miongoni mwao walikuwepo wa DPP. Nikachomeka, ati mbona kila mkeka wa majaji hatuoni mawakili wa DPP,(niliongea kwa kebehi tu nione mawakili wa serikali tulikua nao...