Mwalimu Nyerere aliwahi kusema CCM siyo mama yangu na kama ikikiuka misingi ya kuanzishwa kwake anaweza kuhama, hii kauli inaweza kutamkwa na mtu muadilifu, muungwana na anauechukizwa na maovu kweli kweli. Katika utawala wake nani anayeweza kumshutumu kwa ufisadi, rushwa, dhuluma, wizi na hata...