Na sikushangaa wala sijashangaa sana kwani ndiyo maana hata Siku Moja kabla ya Kuapishwa Kwake Rais Mteule wa Kenya Dkt. William Ruto alitumia muda mwingi kufanya Mazungumzo na Rais wa Rwanda 'Genius' Paul Kagame tofauti na wengine ambao aliishia Kuwasalimia tu.
Nimeweza kufuatilia Hotuba...
Royal Tour ni Brand ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi kubwa ameifanya kutangaza utalii. Royal Tour imekuwa ya mafanikio makubwa. Changamoto kubwa inayoonekana wasaidizi wake hakuna juhudi za kimkakati wanazozifanya kuendelea pale alipoishia.
Bado kazi haijafanyika vya kutosha kuunga mkono...
Kama ulidhani umemaliza kusikia kuhusu Binadamu wenye uthubutu duniani basi nikwambie hujaona kitu bado 😃, hii ni baada ya Watu watano kukamatwa na Polisi nchini India kwa tuhuma za kutengeneza kituo bandia cha Polisi na kuendesha shughuli zote za Jeshi la Polisi kwa miezi nane bila kugundulika...
Mwonekano wa maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza: Hapa Kazi Tu mkoani Mwanza.
Ujenzi wake unagharimu TZS bilioni 89 (fedha za ndani), itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, na itakuwa meli kubwa zaidi katika Ukanda wa Maziwa Makuu.
📸 @MSCLtz https://t.co/trZ3JdWbLR
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).
Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
Hayati JKN siwezi kumlaumu sana maana wakati akitawala enzi hizo nchi nyingi zilikuwa bado hazijajitambua na mkono wa mataifa ya nje ulididimiza mataifa ya kiafrika.
Chukulia tu kwa awamu tatu zilizopita kila moja ingethubuti kutekeleza miradi mikakati mikubwa ya maana ya kimaendeleo leo...
SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA
Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
Nyanja: Maendeleo ya Jamii
Mark Zuckerberg mmiliki wa FB
Taswira kwa hisani ya Google
Utangulizi
Tabia ya uthubutu haikuumbiwa waoga wala wenye soni bali wajasiri...
Changamoto tunazokabiliana nazo mpaka kufikia ndoto zetu, Ni vitu vingi sana tunakumbana navyo katika hazarakati/safari zetu za Maisha mpaka kufikia ndoto tulizokuwa tunaishi nazo kwenye fikra zetu(akilini) na kutamani kuona zimefikia hatima zikiwa na mafanikio tele hususani katika nyanja za...
Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza.
Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.