uthubutu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naiona sura ya Rais Ruto, ila Utendaji madhubuti wa maendeleo na uthubutu kama alionao 'Genius' President Kagame

    Na sikushangaa wala sijashangaa sana kwani ndiyo maana hata Siku Moja kabla ya Kuapishwa Kwake Rais Mteule wa Kenya Dkt. William Ruto alitumia muda mwingi kufanya Mazungumzo na Rais wa Rwanda 'Genius' Paul Kagame tofauti na wengine ambao aliishia Kuwasalimia tu. Nimeweza kufuatilia Hotuba...
  2. A

    Uthubutu na ushupavu wa Rais Samia umefufua sekta ya utalii nchini, wasaidizi na wadau tuendelee alipoishia

    Royal Tour ni Brand ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi kubwa ameifanya kutangaza utalii. Royal Tour imekuwa ya mafanikio makubwa. Changamoto kubwa inayoonekana wasaidizi wake hakuna juhudi za kimkakati wanazozifanya kuendelea pale alipoishia. Bado kazi haijafanyika vya kutosha kuunga mkono...
  3. Binadamu wenye uthubutu duniani

    Kama ulidhani umemaliza kusikia kuhusu Binadamu wenye uthubutu duniani basi nikwambie hujaona kitu bado 😃, hii ni baada ya Watu watano kukamatwa na Polisi nchini India kwa tuhuma za kutengeneza kituo bandia cha Polisi na kuendesha shughuli zote za Jeshi la Polisi kwa miezi nane bila kugundulika...
  4. M

    Ukweli mtupu: Hayati Magufuli atakumbukwa tu by any means necessary. Bila uthubutu wake haya yasingetokea

    Mwonekano wa maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV Mwanza: Hapa Kazi Tu mkoani Mwanza. Ujenzi wake unagharimu TZS bilioni 89 (fedha za ndani), itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, na itakuwa meli kubwa zaidi katika Ukanda wa Maziwa Makuu. 📸 @MSCLtz https://t.co/trZ3JdWbLR
  5. N

    Akacha mechi kwasababu hataki kuunga mkono vitendo vya kishoga

    Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag). Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
  6. Tungekuwa na Marais wengine wenye uthubutu na ujasiri kama Hayati Magufuli tungekuwa wapi kimaendeleo hii miaka 60?

    Hayati JKN siwezi kumlaumu sana maana wakati akitawala enzi hizo nchi nyingi zilikuwa bado hazijajitambua na mkono wa mataifa ya nje ulididimiza mataifa ya kiafrika. Chukulia tu kwa awamu tatu zilizopita kila moja ingethubuti kutekeleza miradi mikakati mikubwa ya maana ya kimaendeleo leo...
  7. J

    Shaka: Uthubutu wa Rais Samia unaifungua nchi kiuchumi na kimataifa

    SHAKA: UTHUBUTU WA RAIS SAMIA UNAIFUNGUA NCHI KIUCHUMI NA KIMATAIFA Katibu wa halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka akitoa salaam za Chama Cha Mapinduzi wakati wa uzinduzi rasmi wa kiwanda cha kuzalisha vifaa vya umeme kilichopo kata ya Kisarawe II wilaya ya Kigamboni...
  8. F

    SoC01 Uthubutu ni Silaha ya Mafanikio

    Nyanja: Maendeleo ya Jamii Mark Zuckerberg mmiliki wa FB Taswira kwa hisani ya Google Utangulizi Tabia ya uthubutu haikuumbiwa waoga wala wenye soni bali wajasiri...
  9. SoC01 Uthubutu ni ngao ya ushindi

    Changamoto tunazokabiliana nazo mpaka kufikia ndoto zetu, Ni vitu vingi sana tunakumbana navyo katika hazarakati/safari zetu za Maisha mpaka kufikia ndoto tulizokuwa tunaishi nazo kwenye fikra zetu(akilini) na kutamani kuona zimefikia hatima zikiwa na mafanikio tele hususani katika nyanja za...
  10. S

    CCM inaweza kutupatia kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama Hayati Magufuli?

    Pamoja na kutokutupatia baadhi ya haki zetu kama wafanyakazi, lakini nakiri kuwa nime mmiss JPM. Nawaza tu hivi kweli CCM itakuja tupatia kiongozi mwenye maono na uthubutu kama chuma aka Jiwe ? R.I.P mwamba...
  11. Mbowe: Hayati Rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu, hakuwa mvivu hata kidogo

    Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza. Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…