utitiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    Mbunge Chikota akerwa na utitiri wa vyama vya msingi (AMCOS)

    Mbunge wa Jimbo la Nanyamba Abdallah Chikota ameeleza kukerwa na utitiri wa vyama vya msingi (AMCOS)
  2. T

    Kwa huu utitiri wa ajali Hayati Magufuli aliwahi kumtumbua Waziri

    Nakumbuka Magufuli aliwahi kupewa maneno magumu sana baada ya ajali kuongozana kwa wingi. Unaweza usione mantiki ya uamuzi ule lakini ukweli ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uongozi unaolegalega na ajali ambazo zinaondoa maisha ya watu kila siku. Inaniuma sana kusikia karibia kila...
  3. J

    Kulikuwa na haja gani kusomba utitiri wa watu wasiokuwa na impact kwenda Korea kutumia kodi za watanzania masikini kwa ajili tu ya kusaini mikopo?

    Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.
  4. More Chances

    Utitiri wa Maduka kuuzwa nini chanzo

    Habari wadau Kipindi hiki kumekuwa na tendency ya watu wengi kuuza maduka yao, Kila nnapotembelea Market place facebook kila baada ya post moja unakuta duka linauzwa. Maduka mengi yanayouzwa ni ya dawa, nguo, chakula nk. Je nini chanzo cha maduka mengi kuuzwa kipindi hiki?
  5. R

    Utitiri wa vyama vya wafanyakazi chanzo cha kukosa umoja wao

    Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka. Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
  6. A

    KERO Serikali imeshindwa kudhibiti adhabu za Viboko shuleni?

    Kumekuwepo na malalamiko mengi juu ya utitiri wa adhabu za viboko shuleni. Watoto wanaogopa kwenda shuleni kisa adhabu za viboko ni kali na pia namna ya utoaji wa adhabu hiyo umepelekea wanafunzi kuacha shule, ulemavu pamoja na alama zisizifutika yaani makovu ya kudumu. Upigaji aua utiajia wa...
  7. BARD AI

    Watanzania wengi wanashindwa kumiliki Magari mapya kwasababu ya Utitiri wa Kodi

    Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii. Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
  8. G

    Heri ya mwezi mpya Februari, mwezi wa wapendanao, mwezi mfupi zaidi, mwezi mpya baada ya utitiri wa bili za Januari

    February itakuwa nzuri kuliko January, Niwatakie mwezi mpya 🎉
  9. BARD AI

    Njombe: 50% ya Wanakijiji wa Utiriri wadaiwa kuwa Walevi

    Asilimia 50 ya wakazi 1,200 wa kijiji cha Utiriri kilichopo kata ya Lupanga wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wamedaiwa kuwa ni walevi hali ambayo inasababisha watoto wao kukosa lishe bora. Afisa lishe halmashauri ya wilaya ya Ludewa John Kiusa ametoa taarifa hiyo kwenye kampeni ya lishe wilayani...
  10. A

    Utitiri wa Mamlaka za Udhibiti (Regulatory authorities)

    Wenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti; 1. EWURA, 2. LATRA, 3. TCRA, 4. TCU, 5. NACTVET, 6. NEMC, 7. OSHA, 8. TBS, 9. TMDA, 10. TARURA/TANROADS, 11. TIRA/NIC, 12. Bodi ya Korosho...
  11. ChoiceVariable

    Huu Utitiri wa Maofisa wa Serikali kwenda Hanang, Wanaenda Kufanya Uokoaji au Kuonekana?

    Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine. Huko PM yupo Mkuu wa Majeshi yupo Mawaziri wapo Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
  12. Start-Menu

    PC yako inahitaji nafasi ya kupumua, ondoa makorokoro! kwa wale tulio na utitiri wa videos, hii ndiyo njia nayotumia kuzifuta chapchap na kuzihakiki

    Unaweza kuwa na lundo la videos ambazo huwezi kuja kuziangalia tena, huwa ni sawa na makorokoro, Pc ama hata simu yako ni sawa na chumba, ni muhimu iwe na nafasi ya kupumua, toa makorokoro hayo chini ya uvungu ili kuwe na sehemu ya kupumua na kuwe na urahisi wa kuperuzi karibu kusoma post za...
  13. M

    Utitiri wa Malori umekithiri barabara ya Morogoro, hatua za haraka zahitaji kuchukuliwa, tusisubiri hadi janga litokee

    Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
  14. I

    utitiri wa biashara ya miwani

    Wakuu. Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer. Je, wanaofanya biashara hii wamethibitisha kwenye mamlaka za afya kuwa bidhaa zao zinafaa kwa afya ya macho?
  15. Pang Fung Mi

    DOKEZO Ongezeko la Wahamiaji na Usalama wetu: Je, Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania vimelala Usingizi wa Pono?

    Wasalaam nyote! La mgambo likiliia ujue kuna jambo. Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo. Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai na angalizo uhamiaji haramu kupitia mipakani hasa Mipaka na Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda ni...
  16. R

    Kwanini tusiwe na maduka ya hadhi nchini ili mawaziri na viongozi wakubwa wasiagize kutoka nje ya nchi?

    Biashara zinaendeshwa Kariakoo kwa sasa hazina tofauti na biashara zilizokuwa zinafanyika miaka ya 1990 za ulanguzi. Soko linazidi kudorora, maduka yenye hadhi yanazidi kupotea na kuzaliwa vibanda vidogo vidogo visivyo kidhi. Mpangilio wa biashara nao unachangia soko kukosa mvuto huku bidhaa...
  17. D

    Chukua tahadhari na utitiri wa APPS za mikopo mtandaoni

    Hivi sasa kumekuwapo na utitiri wa APPS za mikopo mitandaoni ambazo kwangu naamini ni za kitapeli na au zitaleta utapeli. Apps hizi hazina usajili Wala address ya uhakika. Wengine wanakuambia ingiza pesa ya usajili kiaasi kadhaa kwa mujibu wa kiwango unachotaka kukopa,Kisha ukisha tuma ndio...
  18. Replica

    Eti Makamba nae ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta! Adai hana majibu

    Waziri wa Nishati, January Makamba ameshtushwa na utitiri wa vituo vipya vya mafuta vinavyojengwa nchini huku akiwaomba NEMC na Ewura taarifa imekuaje? Kama Waziri mwenye dhamana hana majibu tukamuulize nani? Vituo vimeanza kujengwa mpaka vimemalizika na vinafanya kazi hadi leo hajui kwanini...
  19. K

    Utitiri wa malori barabarani yanayoendelea kukatisha maisha ya Watanzania

    Ndugu wana bodi habari ya leo. Niende kwenye mada. Malori ya mizigo yamekuwa mengi sana barabarani kuliko magari ya aina nyingine. Ukibahatika kusafiri kutoka DSM kwenda Mwanza, malori haya yamejaa. Ukisafiri kwenda Mbeya mpaka Iringa malori haya yamejaa. Ukisafiri kutoka Ruvuma kwenda Lindi au...
  20. S

    Ukweli Mchungu: Utitiri wa TOZO, PAYE kubwa n.k, wa kulaumiwa ni sisi Watanzania wenyewe

    Sasa hivi mitandaoni ni kilio cha tozo na hii ni kwasababu tozo imetugusa wote na si kundi moja katika jamii, otherwise kilio kingekuwa si kikubwa kiasi hiki na huu ndio ujinga mkubwa wa sisi watanzania. Kwanini nasema hivi? Wakati wa Mwendazake, watumishi ambao walikuwa ni wafaidika wa Bodi...
Back
Top Bottom