Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Mwigulu Nchemba auchuna.
Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais
=======
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi.
Amesema...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona uwezekano wa kupunguza idadi ya Askari wa usalama barabarani ambao wanalalamikiwa na Wananchi...
Nimesikia hapa Makamba akiwasilisha miradi inayopangwa kufanywa katika bajeti ijayo na pesa lukuki iliyotengwa, kwa ajili ya miradi, (yaani ni miradi bandika bandua).
Ni Vema na Haki..., ila swali, si bora tungemaliza kwanza mradi mmoja kuliko kushika shika hapa na pale..., Wahenga walisema...
Nawasalimu kwa jina la JMT..na Kazi iendelee.
Ifike wakati serikali ichukue maamuzi magumu na yenye tija kwa Taifa kwa kupunguza utitiri wa Taasisi zake zilizo chini ya Wizara mbalimbali.
Ukiacha kwamba hazina tija kwa Nchi bali ni mzigo mkubwa sana wa walipakodi wa Tanzania kwani zinaongeza...
Utitiri ni wadudu wadogo sana weupe hutokea kwenye mabanda ya kuku. Unapookota mayai au kufagia banda wanakurukia. Sijafahamu wanatokana na nini lakini huwa wanakera sana.
Ukitokea msiba, ukienda tu msibani ukirudi utitiri umetoweka. Hili ni fumbo lililonisumbua sana utotoni.
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavosema,
Hapa nyumbani Kuna utitiri wa sisimizi ndani haukatiki, ukiweka samaki tu hata kabatini unawakuta sisimizi wamevamia hatari, sisimizi wanazagaa hadi kwenye unga imefika hatua hadi chumbani wapo tu; kinacho niudhi zaidi jana sijalala kwani hawa...
Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
Mtakua mmeshuhudia kwamba kuna shule karibia asilimia 90 wamepata 1.7, means karibia darasa zima kila mtoto ana A masomo yote.
Nimejiuliza maswali kadhaa nimekosa majibu:
1. Je, zamani tulikua vilaza? Kiasi kwamba nchi nzima div. 1 point 7 unakuta hazifiki hata 20, na utazikuta chache Ilboru...
Wana Jf
Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo.
Ona wenyewe
Tangu Magu atutoke (rest in peace our hero), tumeshuhudia utitiri wa michango kwenye shule zetu za elimu bure tena isiyo na stakabadhi halali ya Serikali pindi ulipapo.
Mara mchango wa Maji ya kuflash vyooni (wasilete kwenye vidumu bali cash). Mara mchango wa mitihani/majaribio! Mara ya...
Mke wangu aniamsha, usiku saa sita,
Machozi aomboleza, simu anonyesha,
Habari mbaya napata, usingizi unakata,
Akili yangu kataa, Magufuli amekufa.
Tarehe kumi na tano, ndoto ninaota,
Aniijia Raila Amolo, machozi analia,
Dola toa tangazo, tarehe kumi na saba,
Akili yangu kataa, Magufuli amekufa...
Wakuu narudia tena kuirudisha hii mada mpaka tupate majibu kutoka wizara husika. Kumekuwa na utitiri wa shule nyingi za chekechea na zingine zikiitwa Tuition zinazochukua watoto chini ya miaka mitano ambao hawajaanza shule. Katika safari zangu nilizotembea katika mji wa Arusha nimeona mjini...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000.
Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
Nimejaribu kufikiri ni kwanini asilimia kubwa ya fedha za serikali znaishia kwenye matumizi ya kawaida, mojawapo ya sababu niliyoona ni uwepo wa utitiri wa viongozi wengi kwenye ngazi za juu hasa kuanzia wilayani na ukizingatia hawa wanahudumiwa siyo tu mishahara mikubwa bali kuna magari/mafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.