utofauti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stabilityman

    UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM

    UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM. SELF BEDROOM Ina ukubwa ambao unaruhusu:- ✴️Kitanda cha futi 5 kuingia ✴️Meza moja na kiti kimoja au Viwili ✴️ Kabati la nguo Pia inakuwa na Choo chenye shower na system ya Choo Tu, na haina dressing room. Ukubwa wake Mdogo ni square metres 15...
  2. Mshana Jr

    Utofauti ya watu wa Dar na watu wa mkoani ni huu

    Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
  3. Eli Cohen

    Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  4. Mi mi

    Vikao vya watu wenye akili na vya wajinga utofauti wake

    Watu wenye akili utawatambua tu namna walivyo serious kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi. Humu kugonga meza hovyo hovyo kama wendawazimu walio changanyikiwa huwezi kuta hawa watu wanafanya. Makelele ya kijinga yasiyo na tija huwezi kuyasikia humu. Vituko vya kijinga ni ngumu...
  5. Joseph 44

    NISAIDIENI UTOFAUTI KATI YA X BOX NA PS MAANA NACHANGANYIKIWA

    Kama nilivyosema ninataka nianzishe biashara ya ps ama Playstation wengi wanavyoiita ila kumekuwa na makampuni mawili yanayoproduce deki tofautitofauti za games ambayo ni PS ya Sony na X BOX ya Microsoft Sasa hapo ndo nachanganyikiwa nashindwa kuelewa ipi ni bora kuliko nyingine jamani wadau...
  6. B

    Kuna utofauti sana kati ya biashara inayomilikiwa na muajiriwa na biashara ya mtu aliyejiajiri pekee

    👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo 👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki 👉 Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2...
  7. emmarki

    Huu ndio utofauti wa familia za kiafrika na wa-asia

  8. bahati93

    Mhhh! Utofauti kati ya kutabasamu na kukenyua

    Sina mengi naomba nipewe tofauti kati ya kutabasamu na kukenyua. Kwani shidaa ni nini au mpiga picha.
  9. E

    Utofauti kupata kazi Wizarani na halmashauri upoje upande wa maslahi kwa anaejua?

    Anayeweza kutupa madini apo kutokana na experience.
  10. Mjanja M1

    Upi utofauti wa hawa mamba wawili?

  11. Bukayo Saka

    Msaada wa utofauti wa lactogen

    Habari wana jukwaa ; Naomba msaada wa wataalamu na wazoefu , nina mtoto anaetumia maziwa ya lactogen ila leo nimeenda kununua muuzaji akanambia number 1 iko ya Kenya na kuna ya South Africa. Ya kenya anauza 35,000 na ya SA anauza 26,000. Nimesoma makopo kila kitu kipo sawa kwa upande wangu...
  12. feyzal

    Naomba kujua utofauti wa Bachelor of Medicine na Bachelor of Surgery vs Doctor of Medicine

    Habari wa kuu. Nikiwa naperuzi kuangalia kozi mbalimbali kwenye guide book ya TCU kwa mwaka 2024/2025 nilipofika chuo cha kampla nikakuta hiyo kozi. Naomba kufahamisha utofauti wake kimajukumu katika kozi hizo mbili.
  13. Kong xin cai

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuwepo na utofauti kati ya vyama vya siasa vya uraiani na vile vinavyotumika vyuo vikuu na kati

    UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi. Tawala Moja wapo ambazo...
  14. Tlaatlaah

    Mapenzi kijijini na mjini

    Mapenzi miongoni mwa wachumba au wanandoa vijijini na mijini hutofautiana kulingana na mazingira.... Mathalani vijijini mapenzi hufanyika zaidi nyakati za usiku kwa heshima, ukilinganisha na mjini, ambapo mapenzi hufanyika nyakati zozote tu, hususani mchana, kutokana na upatikanaji rahisi wa...
  15. DR HAYA LAND

    Kosa kubwa alilolifanya Hayati Magufuli ni kutokuelewa utofauti wa adui na mpinzani

    Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako. Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza. Adui -ni yule anayepambana kukuondoa usiwepo Mpinzani-ni yule anayetazama weakness zako na kuzi-expose ili uzifanyie kazi...
  16. DR HAYA LAND

    Utofauti kati ya Wivu na Chuki

    WIVU - ni kutamani walichonacho wenzio. CHUKI - chuki nikutamani walichonacho wenzio na kutaka wao wasipate Ila upate wewe. MTU mwenye wivu anasumbuliwa na tatizo la scarcity mindset. Ila MTU mwenye chuki anasumbuliwa na Poor self-worth Hivyo MTU mwenye chuki ni hatari Sana kuliko hata MTU...
  17. Allen Kilewella

    Je, kuna utofauti wa kufikiri kati ya Mwafrika na watu weupe?

    Kuna mshangao, ni kwa nini Afrika haiendelei ingawa ina rasilimali asili lukuki? Hoja kubwa inayojengewa nadharia nyingi mbalimbali duniani ni kwamba Waafrika wana uwezo mdogo sana wa kufikiri tofauti na watu wa kutoka sehemu nyingine duniani. Je, ni kweli kwamba Waafrika uwezo wao wa kufikiri...
  18. Member71

    Tofauti ya majeshi yetu yana maoni gani juu ya utofauti wa sare

    Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni...
  19. Dalton elijah

    Utofauti wa watu wa Dar na watu wa Mikoani ni huu

    Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako na mkewe na watoto stendi wamekuja kukupokea! Mnatembea kitambo na kufika kwake. Watoto waliobaki...
  20. Kigoma Region Tanzania

    Utofauti kati ya Kombora na Kipapai katika tasnia ya uchawi

    Dondoo kadhaa kuhusu nadharia ya KOMBORA na KIPAPAI kwa yale yanayotendeka katika ulimwengu mpana wa giza. Ni kazi kubwa kushindana na mchawi na ukashinda, mchawi na uchawi ni taasisi kubwa, ambayo huanzia ngazi ya kitongoji, mtaaa/Kijiji, kata, tarafa, wilaya, mkoa, kanda, kitaifa na...
Back
Top Bottom