Ukiondoa hizi international Schools ISM, Braeburn, IST, St. Constantine.
Shule zilizo baki Tanzania zinatoa elimu mbovu utofauti ni mazingira ya upokeaji wa vilivyo vibovu.
St. Kayumba na hizi English medium/private wote wale wale wanaendelea kutoa yale yaliyo mabovu yaliyo andaliwa na wizara...
■Mashairi ya matusi na ngono
■Kuvaa nusu uchi
■Uchezaji dance wa namna ya kingono
Hauwezi ukaangalia hizi kama uko na mtoto wako au mtu wa wa kuheshimiana. Ila ndio nyimbo madogo wanakalili huku wakijijengea picha ya kuwa wanayao yaona au kuyasikia katika videos hizi ni ya kawaida na modernity...
Hivi karibuni kuna mtu mmoja aliuliza swali sehemu kuwa kuna utofauti gani kani ya Kanisa, Sinagogi na Hekalu? Nikagundua kuwa wengi wanasumbuliwa na swali hili, hivyo leo nimekuandalia majibu kwa ufupi tu Mungu akitupatia neema siku nyingine tutaona kwa kina, karibu.
HEKALU
Hekalu ni jengo...
kwa waliotembelea Kigali (though not the whole Rwanda), kuna kitu kikubwa sana nimejifunza toka kwao, ambacho muda unavyoendelea wanaweza kufikia level zile za nchi za ulaya kabisa kwenye suala la usafi.
1. Tanzania usafi wa mazingira tupo nyuma sana, wenzetu wameweka misingi iliyokwisha ingia...
Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa.
ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda"
ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana muajiriwa na pia ni mfanya biashara
Katika biashara yangu huwa napenda sana kuiendesha kwa kuongezea vitu vya darasani, kuna hii system nataka niitumie ya kutenganisha pesa za mauzo mfano ya kwa siku, baada ya siku kadhaa, kwa wanaolipa madeni, kulingana na...
Habari wanaJF.
Kama kichwa kinavyosema, huwa naona ukitaka kwenda masters au postgraduate diploma ni lazima uwe na degree? Ukiangalia qualification za kujiunga zinafanana, ukiangalia namna ya usomaji chuoni kunafanana, ukiangalia kwenye prospectus vyuoni ni vitu ambavyo ni vinafanana kila...
Harmonize aliondoka kwa Milioni 500
Rayvanny ni kama ameondoka kimaigizo ila kalipa nae milioni 500
Zuchu bilioni 5.
Off course huwa kuna kumkuza mtu brand yake na kumtengeneza awike, lakini hivi viasi vya pesa huwa sawa ?
Is it fair?
Tanzania ni nchi ya aina yake kulinganisha na zingine zote duniani. Kwa hakika ni halali wengine kuiita kuwa ni nchi ngumu sana.
Chukua muda uisome nchi hii kupitia kwa watu wake. Zanzibar wanaweza kuwa tofauti, lakini si bara.
Inasikitisha kuwa Tanzania bara ni jamii ya watu waliojaa...
Habari Wa Jamii,
Naomba Tutoa Rai Kwa Wasomi Wetu Wale Walioamua Kujiajiri Kwa Kupenda Au Wale Wenzangu Na Mimi Kwa Sababu Ya Chamgamoto Ya Ajira.
Tunapofanya Biashara Ndogo Au Kubwa Tujaribu Kuonyesha Utofauti Kwanza.
Huduma kwa wateja Ziwe Nzuri Sitegemei Kuona Msosi Analeta Stresi za Ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.