utoro wa wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zungu: Kuna Kundi la Utoro Bungeni, Waliokwenda Morocco bila Kibali wachukuliwe hatua

    "Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Huu ni utoro vilevile. Kuna wengine wanachukua nafasi ya kutokuwepo, lakini wenzao kuwasainia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…