App haifunguki
Simu hampokei
Wengine hatupo karibu na na hio mikoa yenye ofisi zenu, sasa tufanyeje? Mnakuwa utafikiri ofisi kinda wakati mna experience ya muda mrefu.
Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea. Hapa kuna mlinganisho mfupi:
1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote.
Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment kidogo ya kupitia na kuangalia huu uwekezaji kupitia mifuko ya UTT kama ambavyo mada nyingi zimewekwa...
Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.
Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums.
Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila...
Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS.
Katika harakati za kutafuta maarifa kuhusu UTT AMIS nikaperuzi kwa site zao niweze ona pia vigezo na masharti walivyoweka...
Hello wakuu,
Naomba kwa aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT aniambie faida za mifuko mwaka Huu ilikua asilimia ngapi Kwa:
Liquid fund
Bond fund
Wekeza Maisha
Jikimu Na
Watoto fund
Habari wadau,
Sielewi kwamba ni mimi mwenye ninayepitia hii hali au kuna wengine pia wanakumbana na hili.
Ni karibia wiki mbili sasa ninashindwa kuingia kwenye App yao.
Hii inanikwamisha kwa kiasi kikubwa kwani ninashindwa kutoa sehemu ya akiba yangu iweze kunisaidia kwenye masuala kadhaa...
Habari za asubuhi wana jukwaa. Ni matumaini yangu kuwa mko wazima bukheri.
Kama kichwa cha mada hapo juu, naomba kuuliza kuhusu uwekezaji kwenye Hati fungani na UTT Amis.
Swali langu ni uwekezaji upi kati ya UTT na hatifungani una faida zaidi kwa mwekazaji katika maana ya ukubwa wa faida...
Habari za muda huu wakuu,
Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi)
Kwa muda wa miezi miwili sasa...
Jamani kwa mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ni wapi pazuri kuwekeza kama million 100?
Hisa, kampuni zipi Zina hisa Bora,,NMB,CRDB,TBL, Serengeti Bia,Wapi hasa na kwanini?
Bond..je za BOT 20 to 25 years?je ni rahis kuzipata mwananchi wa kawaida?
Fixed deposit..eg 14 pcnt mfano finca au...
Habarini wakuu,husika na mada tajwa hapo juu.Kama kuna viongozi humu wa UTT amis,tunaomba muangalie namna ambavyo salio linaweza soma haraka kwenye akaunti baada ya kuwekeza at least iwe within 24hrs kuliko hii ya kukaa muda mrefu kwani inazua taharuki kwa wawekezaji wengi.Lakini pia itawasaidia...
Habarin wakuu,msaada kwa mwenye kufahamu haya mambo ;
1.Mfano umefungua akaunti UTT-liquid fund na ulishakamilisha usajili ofisini kwao,then baada ya mwaka ukataka ongezea mfuko mwengine mfano bond fund,je inawezekana ?
2.Naomba kujua maana ya hii "growth scheme" naiona kwenye liquid fund kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.